Agenda ya amani, usalama vyatawala mkutano wa SADC Dar
Nchi wanachama zimetakiwa kushirikiana katika kutunza na kuendeleza amani na usalama ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuwaletea wananchi maendeleo.
Nchi wanachama zimetakiwa kushirikiana katika kutunza na kuendeleza amani na usalama ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuwaletea wananchi maendeleo.
Amewaomba wakuu wa nchi za Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoa hutuba yake kwa Kiswahili ili washawishike kukipitisha kuwa lugha rasmi ya nne ya mawasiliano ya SADC.
Imezitaka Serikali kupiga marufuku matangazo, uchangishaji na ufadhili wa bidhaa za tumbaku katika matamasha na mikutano ya kimataifa.
Taarifa ya kuteuliwa kwa Askofu Ruwa’ichi limetolewa leo baada ya Papa Fransisko kuridhia ombi la Kardinali Pengo kustaafu.
Amesema uwekezaji huo utasaidia kupunguza gharama za kuagiza dawa za binadamu nje ya nchi.
Imesema idadi ya watu walio na ajira Tanzania imeongezeka kutoka milioni 20 mwaka 2014 hadi milioni 22 mwaka 2018.
Ni hatua ya kupunguza gharama za kuzungusha pesa za kawaida na kuwawezesha watunga sera kudhibiti usambazaji wa pesa wa nchi hiyo.
Wageni wanaotembelea wilaya hiyo huvutiwa zaidi kupita katika soko hilo ili kujipatia bidhaa mbalimbali ikiwemo matunda, samaki na mbogamboga.
Inakusudia kuimarisha utekelezaji wa sera za maendeleo hasa katika ukuzaji wa biashara ya mazao ya kilimo na mifugo kwa kutoa wataalam na ushauri ili kuwafaidisha wakulima.
Tume hiyo maalum iko kwa ajili ya kubaini chanzo cha ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu zaidi ya 69 na wengine 70 kujeruhiwa.
Aitaka itafakari namna ya kurekebisha baadhi ya dosari ikiwemo suala la kuwanyima mikopo wanafunzi kwa kutumia kigezo cha kusoma katika shule binafsi.
Ajali hiyo imetokea Msamvu, Morogoro asubuhi ya leo kusababisha vifo zaidi ya 60 na majeruhi zaidi ya 70.
Umoja wa Mataifa (UN) umesema hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa kuzitunza lugha hizo zilizojaa utajiri wa utamaduni na ufahamu wa maisha.
Watu hao wamepoteza maisha baada ya roli la mafuta kulipuka katika eneo la Msamvu mkoani Morogoro.
Amekerwa na kitendo cha mamlaka hiyo kupandisha bili za maji kutoka Sh5,000 hadi Sh28,000 jambo ambalo amesema halikubaliki.
Gari hilo litakuwa linatumia dakika nane tu kusafiri kati ya mji wa Blagoveshchensk (Urusi) na Heihe (China).
Twiti hiyo ni ya kutengeneza ikionekana kuwa na madhumuni ya kuwanyong’onyesha Yanga.
Kushuka huko kwa bei sasa kutawafanya wamiliki wa vyombo vya moto Dar es Salaam wanunue lita moja kwa Sh2,151 kutoka Sh2,312 ya Julai mwaka huu.
Miundombinu hiyo ni pamoja na reli, barabara, bandari na mawasiliano ili kukuza sekta ya viwanda katika mataifa hayo.
Ameshtakiwa kwa makosa matatu ikiwemo utakatishaji wa fedha kiasi cha zaidi ya Sh173.