Instagram kuja na sera ya kudhibiti maudhi ya watumiaji wake
Mtoa maudhi sasa ataweza kukata rufaa kama maudhi yake yakifutwa.
Mtoa maudhi sasa ataweza kukata rufaa kama maudhi yake yakifutwa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana vifo vya watu takriban 33 ndani ya studio. Hiyo.
Mamlaka za hali ya hewa Afrika Mashariki kushirikishwa ili kuongeza tija kwa wananchi wao.
Lengo la majaribio hayo ni kuwawezesha wafuasi wa akaunti za Instagram kuweka mawazo yao kwenye picha na video na siyo idadi ya likes au views alizopata mtu.
Vijana waliotimiza miaka 18 watakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza haki yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Inawawezesha wateja wa Vodacom Tanzania kulipia malipo ya hati za kusafiri kwa kutumia simu za mkononi zilizounganishwa na huduma ya M-Pesa.
Kwa mujibu wa shirika hilo, safari kwanza itakuwa leo (Julai 17, 2019) na ya pili itakua Juali 19 kwenda moja kwa moja Mumbai.
Programu hiyo inalenga kuzijengea uwezo na kuziimarisha kampuni zinazochipukia (startups) kujiendesha kibiashara.
Viongozi watakaochaguliwa watapimwa wa ushiriki wao kwenye mijadala ya kundi husika.
Muonekano huo utarahisisha matumizi ya mtandao huo hasa katika kipengele cha ujumbe, orodha ya vitu na vitambulisho (Bookmarks).
Amesema hadi kufikia Julai 30 mwaka huu, pamba yote iliyoko katika mikoa mbalimbali nchini itakuwa imeshanunuliwa na wakulima watakuwa wamelipwa fedha zao.
Inakutunzia neno la siri na kukumbusha kama umesahau wakati ukitumia simu yako.
Yanapatika takriban kilomita 40 Kusini mwa jiji la Cairo ambapo moja ni ile iliyoinama ya Pharao Snerefu na ya pili ipo Dahshur Necropolis mjini Giza.
Kwa sababu ikolojia ya maeneo hayo inaruhusu kustawi kwa wanyamapori hao kwa kuwa yana makazi mazuri na chakula cha kutosha.
Mikoa hiyo ni pamoja Dar es Salaam, Mbeya na Kaskazini Pemba ambao umeshika mkia kitaifa.
Taasisi hiyo imebainisha kuwa kiwango cha rushwa kimeshuka huku rushwa katika ofisi ya Rais, viongozi wa dini, wabunge na viongozi wa kimila ikipomoroka kwa kasi.
Mwaka huu wanafunzi 58 kati ya 60 wamepata daraja la kwanza huku wawili wakipata daraja la pili na haijawahi kutoka katika orodha ya shule 10 bora kitaifa kwa miaka nane mfululizo
Masomo hayo ni General Studies, Historia, Bailojia na Accountancy ambayo ufaulu wake umeshuka kwa viwango tofauti.
Ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka 2018 hadi asilimia 98.32 mwaka huu.
Ni maombi ya viza ambayo sasa yatakuwa yanashughulikiwa katika ubalozi wa nchi hiyo Nairobi nchini Kenya badala ya Tanzania.