Ukwasi BOT wapunguza tatizo la mzunguko mdogo wa fedha
Serikali imesema kwa sasa nchi haina tatizo la mzunguko mdogo wa fedha katika soko kutokana na hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na tatizo hilo ikiwemo kuongeza ukwasi kwenye uchumi.
Serikali imesema kwa sasa nchi haina tatizo la mzunguko mdogo wa fedha katika soko kutokana na hatua mbalimbali zilizochukuliwa kukabiliana na tatizo hilo ikiwemo kuongeza ukwasi kwenye uchumi.
Imetangaza kuzifanyia marekebisho ndege hizo ikiwemo kufunga mfumo wa onyo wa kuashiria ajali utaowasaidia marubani kupata taarifa mapema.
Itafanyika Machi 25-30, 2019 na huwakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo kujadili hatua zilizopigwa katika kuendeleza ubunifu nchini.
Mkandarasi anaendelea na ujenzi wa kambi ya muda ya wafanyakazi, usafirishaji wa vifaa na mitambo itakayotumika wakati wa ujenzi pamoja na kazi za kuchukua sampuli za udongo na maji kwa ajili ya utafiti.
Hatua hiyo imekuja baada ya tangu ndege yake aina ya Boeing 737 Max 8 kupata ajali jana (Machi 10, 2019) na kusababisha vifo vya watu 157.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2019 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia tatu kama ilivyokuwa Januari.
Ripoti ya utafiti wa wageni wa nje ya nchi mwaka 2017 (International Visitors’ Exit Survey Report 2017) inaonyesha kuwa maeneo hayo mawili yanachukua asilimia 58.2 ya maeneo yote yaliyotembelewa na watalii nchini mwaka 2017.
Kuna wanawake wengi wanafanya mazuri lakini kwa sababu mbalimbali mchango wao umekuwa haufahamiki.
Mkutano huo umeandaliwa na kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) na unafanyika kwa siku tano ambapo mawaziri wanajadili sera na matumizi mazuri ya rasilimali za Taifa ili kuondokana na umasikini.
Robo tatu ya tozo za bima nchini zililipwa kwa ajili ya huduma za majanga ya moto, afya na vyombo vya moto kati ya Januari hadi Septemba 2018.
Wamezindua huduma ya mtandaoni ya M-Koba liliyounganishwa na M-Pesa inayotoa fursa ya kuhifadhi fedha kwa usalama na uwazi.
Kampuni ya Airbus imesema haitatengeneza tena ndege aina ya A380 na toleo la mwisho litatoka mwaka 2021 kutokana na kupungua kwa soko la ndege hizo.
Ni fursa ya mafunzo na kuripoti Mkutano wa Afrika wa Tabianchi Accra Ghana kuanzia 18 hadi 22 Machi 2019.
Bia ndiyo bidhaa inayoongoza katika uchangiaji wa mapato ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) baada ya kuchangia asilimia 30 ya mapato katika kipengele hicho cha kodi mwaka 2016/17.
Wadau hao wamesema hatua hiyo imekuja kufuta kilio cha muda mrefu cha kuwa na wizara maalum inayoshughulikia masuala ya uwekezaji.
Waandishi wa nukta.co.tz wamechagua vielelezo mbalimbali vya habari hasa za takwimu ambavyo vilitoa habari zilizojificha na kuwasaidia wasomaji kuelewa mambo kirahisi.
Sekta nyingine kama utalii na biashara zimeathiriwa kwa kutokana na uvuvi wa mabomu huku baadhi ya wavuvi haramu walifariki na kupata vilema.
Wataalam wanaeleza kuwa samaki anakuwa mlegevu, mifupa yake imevunjika na hubadilika rangi hasa kwenye mapezi na wakitumiwa na binadamu husababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani.
Mbinu hizo ni pamoja na msako wa baharini na wa nyumba kwa nyumba katika maeneo yaliyokuwa vituo vikuu vya uvuvi huo haramu jijini hapa.
Wachambuzi masuala ya usafiri wamesema hatua hiyo ni pigo kwa sekta ya usafiri wa anga kwa sababu nchi inaweza kurudi katika enzi za shirika la ndege la Taifa kuhodhi biashara ya anga.