Sababu nne za kutofautiana kwa matumizi ya umeme majumbani
Sababu hizo ni pamoja na tabia zisizofaa za watumiaji wa umeme, makundi ya watumiaji na aina ya vifaa vya kielektroniki vinavyotumika ndani ya nyumba.
Sababu hizo ni pamoja na tabia zisizofaa za watumiaji wa umeme, makundi ya watumiaji na aina ya vifaa vya kielektroniki vinavyotumika ndani ya nyumba.
Imewaomba waendelee kufanya kazi zao za maendeleo kwasababu kitu hicho kilichoanguka ardhini Novemba 27, 2018 hakina madhara yoyote kwa maisha yao.
Ni Rais mstaafu wa Afrika Kusini na Mwenyekiti wa jopo la ngazi ya juu lililoundwa na Umoja wa Afrika (AU) kushughulikia tatizo la utoroshaji wa fedha
Sehemu kubwa ya mapato hutumika kulipa mishahara ya wafanyakazi na fedha zinazoelekezwa katika miradi ya maendeleo.
Benki hiyo sasa imeondoa zuio la wafanyakazi wake kuzuru nchini lililokuwa limewekwa hapo awali kwa madai ya “kuwepo vitisho na ubaguzi dhidi ya watu wanaotekeleza vitendo vya ushoga”.
Habari za kutolewa mkopo huo zimetolewa leo baada ya Rais Magufuli kukutana na kigogo wa juu wa benki hiyo barani Afrika.
Kwa wastani mtu mmoja anakunywa lita 47 za maziwa kwa mwaka ikiwa ni pungufu mara nne ya kiwango kinachopendekezwa na FAO cha lita 200 kwa mwaka.
Idadi ya wahitimu wa kiume ni karibu mara mbili zaidi ya wahitimu wa kike.
Rais Magufuli amesema JWTZ litalinda maghala yote na litafanikisha mchakato wa kusafirisha korosho hizo hadi kwenye maghala mengine makubwa nchini.
Serikali ilifanikiwa kutekeleza bajeti ya maendeleo kwa asilimia 57 tu huku utekelezaji wa matumizi ya kawaida ukifikia hadi asilimia 93.
Nyumba hiyo ya ghorofa moja iliyopo Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam inamilikiwa na mabinti wa marehemu Mwasansu.
Umefikia asilimia 3.2 kwa mwaka ulioshia Oktoba 2018, kiwango ambacho Trading Economics wanasema ni cha chini zaidi kuwahi kurekodiwa Tanzania.
Aitaka Serikali ishirikiane na wapelelezi wa kimataifa kuchunguza tukio hilo ili kuondoa hofu na mashaka yanayoendelea katika jamii.
Dau hilo limetangazwa na familia yake, ikiwa zimepita zaidi ya saa 85 tangu Mo atekwe katika hoteli ya Collesseum iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Msemaji wa Klabu hiyo, Haji Manara amesema suala la kutekwa kwa mwekezaji wao sasa litazungumzwa na vyombo vya dola pekee.
Taarifa za awali zinasema Mo Dewji ametekwa asubuhi ya leo (Oktoba 11, 2018) na raia wawili wa kigeni wakati akiingia katika hoteli ya Collesseum iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam.
Changamoto inayojitokeza ni Tanzania kutumia takribani Sh100 bilioni kila mwaka kuagiza samaki, maziwa na nyama kutoka nje ya nchi licha ya kuwa na mifugo mingi.
Watakiwa kuongeza kasi ya kuripoti habari zilizopo katika sekta ya nishati jadidifu ili kuwafunguliwa wananchi fursa mbalimbali ikiwemo ajira na kukuza shughuli za uchumi katika maeneo ya vijijini.
Ni bodi ya Wakurugenzi Sumatra na Bodi ya Washauri TEMESA.
Rais amesema katika kipindi hicho cha maombolezo, anaamini kila mtu kwa imani yake atawaombea marehemu waliopoteza maisha katika ajali hiyo.