Barabara, umeme vyakwamisha kuanza mradi shamba la miwa Morogoro
Serikali imeitaka kamati elekezi inayosimamia mradi wa shamba miwa la Mkulazi lilipo mkoani Morogoro kuanza haraka ujenzi wa barabara na kupeleka umeme katika eneo la Mkulazi litakalojengwa kiwanda cha sukari ili kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo nchini Tanza