WhatsApp yatimiza miaka 12, ikikosolewa kwa sera yake mpya
Mtandao huo ulianzishwa mwaka 2009 na mwaka 2014 ulinunuliwa na kampuni ya Facebook ambapo umekuwa kiungo muhimu cha mawasiliano duniani.
Mtandao huo ulianzishwa mwaka 2009 na mwaka 2014 ulinunuliwa na kampuni ya Facebook ambapo umekuwa kiungo muhimu cha mawasiliano duniani.
Ni kutokuwashutumu walioambukizwa ugonjwa huo bali kuwahimiza kuchukua tahadhari na kuwaaminisha kuwa watapona.
Ghana imekuwa nchi ya kwanza duniani na barani Afrika kupokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona chini ya programu maalum ya COVAX inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa (UN).
Njia mojawapo ya kujikinga na magonjwa yanayoambukiza ikiwemo Corona ni kunawa mikono mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni.
Ni sera mpya ya faragha ambayo kwa sehemu itashirikisha taarifa zao binafsi na mtandao wa Facebook.
Ni makundi ya nzige wa jangwani waliovamia mashamba ya wakulima na malisho ya mifugo katika Wilaya za Simanjiro na Longido.
Ni sera ya faragha ambayo imeibua mjadala mpana duni kuhusu usiri wa taarifa za watumiaji wake.
Ni baada ya kujiondoa mwaka jana chini ya utawala wa Rais mstaafu Donald Trump.
Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif umepumzishwa kijijini Mtambwe kwake Pemba.
Watakiwa kulima mazao yanayostahimili mvua kuwa ili kuongeza uzalishaji katika msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mwaka huu.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia leo Februari 17, 2021 jijini Dar es Salaam
App hiyo inayojulikana kwa jina la ‘Hisa Kiganjani’ imeanzishwa kwa lengo la kurahisisha shughuli za uwekezaji zinazochangamana na soko la hisa.
Serikali imevitaka viwanda vya ndani vya sukari kuongeza uwekezaji kupunguza uagizaji wa bidhaa hiyo nje ya nchi ili kutosheleza mahitaji.
Ni katika mafunzo maalum ya uandishi wa habari za takwimu na uthibitishaji habari. Mafunzo hayo ya miezi miwili yanafanyika katika kituo cha mafunzo (#NuktaLab) cha kampuni hiyo kilichopo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya makampuni ya tumbaku nchini hununua zao hilo kwa bei ya chini wakidai ni ya kiwango cha chini (makinikia) kisha huyapeleka nje na kuuza kwa bei nzuri.
Takriban watu 22 walibakwa kila siku nchini Tanzania mwaka 2019 sawa na wastani wa watu 653 kila mwezi.
Inatarajia kuongeza makusanyo na matumizi hadi Sh36.26 trilioni kwa mwaka wa fedha wa 2021/22 ikiwa ni ongezeko la asilimia nne kutoka Sh34.88 trilioni katika mwaka wa feda unaoishia Juni 2021.
Ni kampuni tatu za simu za mkononi za Vodacom, Tigo na Airtel.
Uamuzi huo unatokana na Wasafi TV kukiri kosa na kuomba kupunguziwa adhabu kutokana na kukiuka kanuni za maudhui ya mtandaoni.
Kikitumika vizuri kinaweza kukupatia taarifa sahihi na kukuondolea mashaka ya uzushi wa COVID-19.