Yandex: Zana ya kidijitali kukabiliana na uzushi wa Corona
Ni programu inayosaidia kung’amu ukweli kuhusu habari picha zenye mashaka
Ni programu inayosaidia kung’amu ukweli kuhusu habari picha zenye mashaka
Ni uzushi unaosema kuwa kutokana na Corona utaratibu kuwasilisha nyaraka hizo umebadilika.
Ngono inaongeza uwezekano wa kupata Corona kuliko kuzuia.
Amesema katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi wa miaka mitano, Wizara ya Maji ilimtesa sana kwa sababu miradi mingi ya maji ilikua haikamiliki kwa wakati
Ni wale wanaokiuka maadili ya kazi zao kwa kutokuwepo katika vituo vyao vya kazi na kushindwa kusimamia majukumu yao.
Vitakakuwa na picha ya muhusika na baadhi ya kumbukumbu binafsi zitakazomtambulisha na kumuwezesha kupata huduma katika maeneo mbalimbali zikiwemo taasisi za kifedha.
Ni wakulima wa Vietnam ambao wameanza kuongeza uzalishaji na mavuno kwa kutumia programu ya simu kutambua kiwango cha chumvi kwenye maji yanayotumika kumwagilia mpunga.
Aitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuachana na utaratibu wa sasa wa kuuza magogo nje ya nchi na badala yake vianzishwe viwanda vya ndani vya bidhaa hiyo.
Asema hatarajii kutangaza Watanzania kujifungia ndani ili kujilinda na Corona huku akiwataka waendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
Kwa sasa, Tanzania kuna ongezeko la wagonjwa wapya wa saratani wapatao 50,000.
Imeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo hayo huku watahiniwa wake 79 kati ya 90 wakipata daraja la kwanza la pointi saba.
Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo iliyopo mkoa wa Pwani imeshika nafasi ya kwanza kitaifa matokeo ya kidato cha nne 2020.
Shule ya Wasichana ya St Francis ya mkoani Mbeya yaongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa.
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2020 huku ufaulu ukiongezeka kidogo kwa asilimia 5.19 kutoka ule wa mwaka 2019.
Zaidi ya chanjo 200 zinafanyiwa majaribio ya kimaabara ili kupambana na Corona.
Kutokana na janga la COVID-19, takriban watu milioni 260 walikuwa wanafanyia kazi nyumbani duniani kote wakiwakilisha asilimia 7.9 ya ajira zote duniani.
Ni pamoja na kutumia vyanzo vya uhakika vya takwimu na kujiuliza maswali magumu kabla ya kusambaza kwa watu wengine.
Watakiwa kutumia vizuri ujuzi walioupata kuleta ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili jamii na kutafuta ajira katika sekta isiyo rasmi ili kujiletea maendeleo.
Twitter yasema amekiuka sera na sheria za mtandao huo kwa kuchochea vurugu.
Umeongezeka kidogo katika mwaka ulioshia Desemba 2020 hadi asilimia 3.2 kutoka asilimia 3 iliyorekodiwa Novemba mwaka jana.