Hisabati, Kiingereza bado pasua kichwa mitihani darasa la Saba Tanzania
Kiingereza ndiyo somo ambalo lina ufaulu mdogo zaidi kuliko wote huku wadau wakiomba juhudi zaidi kufanyika kuwaokoa watoto.
Kiingereza ndiyo somo ambalo lina ufaulu mdogo zaidi kuliko wote huku wadau wakiomba juhudi zaidi kufanyika kuwaokoa watoto.
Mwanahabari wa habari za uchunguzi Erick Kabendera ameingia kwenye orodha ya watuhumiwa wa makosa ya uhujumu nchini ambao wameomba kufanya majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ili kumaliza kesi inayomkabili.
Thamani ya mauzo ya wiki nzima katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imepanda zaidi ya mara tatu hadi Sh1.17 bilioni kutoka Sh357.4 milioni iliyorekodiwa juma lililopita huku wachambuzi wakitabiri mwenendo chanya siku zijazo.
Wamuomba Rais Magufuli amsamehe “iwapo aliteleza katika utekelezaji wa majukumu yake ya uandishi wa habari.”
Hakuna Mtanzania yeyote anayestahili kufariki kwa ajali za barabarani zikiwemo za uzembe wa bodaboda.
Ndani ya mwaka mmoja uuzaji wa bidhaa za Tanzania katika nchi hizo ulipaa kwa asilimia 12.
Aziambia taasisi zinazohusika na mradi huo “ole wenu bima hiyo asaini mtu mwingine”.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema maofisa kutoka Tanzania na Kenya watakutana wiki ijayo kujadili kwa kina baadhi ya masuala muhimu ikiwemo mgawanyo wa chakula hicho.
Awataka kupeleka mapendekezo ya namna ya kuboresha reli hiyo yenye uwezo wa kubeba tani zaidi ya milioni tano.
Miongoni mwa mambo ya kujizuia ni kusoma kozi kwa kufuata mkumbo.
Kati ya wasichana 10 waliopo kwenye orodha hiyo, wanne wanatoka Shule ya Sekondari ya St Mary’s Mazinde Juu mkoani Tanga.
Ni miamala ya fedha iliyofanywa kwa njia ya simu za mkononi Machi 2019 ambayo inafikia Sh7.82 trilioni.
Kampuni tatu za Vodacom, Tigo, na Airtel zilifanikisha miamala yenye thamani ya Sh7.66 trilioni Machi 2019 ikiwa ni sawa na asilimia 98 ya thamani ya miamala yote ya huduma za simu za mkononi.
Bajeti hiyo ya Serikali kwa mwaka 2019/20 ya Sh33.1 trilioni imepitishwa baada ya zaidi ya robo tatu ya wabunge waliokuwepo bungeni leo kupigia kura ya “Ndiyo”.
Katika bajeti hiyo ya mwaka 2019/20, Serikali inatarajia kukusanya Sh33.11 trilioni ikiwa ni ongezeko la takriban asilimia 2 kutoka makadirio ya bajeti inayoishia Juni 2019.
Waziri wa fedha na mipango amesema msamaha huo umeshindwa kuwanufaisha walengwa na badala yake wafanyabiashara walitumia fursa ya kujiongezea faida.
Waziri wa fedha amesema ukopeshaji huo umepaa kwa asilimia 10.6 katika mwaka ulioshia Aprili 2019 kutoka asilimia 0.8 kipindi kama hicho mwaka 2018.
Amesema wastani wa pato la kila mtu uliongezeka kwa zaidi ya Sh130,000 mwaka 2018.
Ni Mwenyekiti, wajumbe wawili wa bodi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo na Ofisa Mkuu wa Ufundi (CTO).
TanTrade imeeleza kuwa wakati wa maonyesho hayo wafanyabiashara wenye mambo yanayowasumbua kuhusu vibali, masoko, mitaji na usajili wa biashara watapatiwa suluhu.