Magufuli asema wawekezaji Bandari ya Bagamoyo wana masharti ya ajabu
Baadhi ta masharti hayo ni kuwa Serikali haitaruhusiwa kuendeleza bandari yeyote ukanda wa pwani na hautoruhusiwa kukusanya mapato.
Baadhi ta masharti hayo ni kuwa Serikali haitaruhusiwa kuendeleza bandari yeyote ukanda wa pwani na hautoruhusiwa kukusanya mapato.
Waziri wa nishati amesema Serikali itatekeleza mradi huo wa megawati 2,115 bila kuyumbishwa wala kukwamishwa na yeyote.
Mwenyekiti wa bodi wa TTCL Omar Nundu amesema sehemu ya faida iliyobaki itatumika kwenye miradi midogo ya kimkakati.
Iwapo mwenendo wa kuporomoka kwa mapato utaendelea kuvikumba vyombo vya habari, ubora wa habari upo hatarini kutoweka na kuathiri maendeleo nchini.
Thamani ya hisa za kampuni hiyo ya madini yaongezeka kwa asilimia 2.25 ikiwa ni ongezeko la Sh100 zaidi kwa hisa moja kutoka viwango vya Mei 13.
Ripoti ya awali ya kifedha kwa mwaka ulioishia Machi 2019 iliyotolewa na kampuni hiyo inaeleza kuwa mapato yanayotokana na huduma za sauti za simu bado mtihani.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema mradi huo haujasitishwa na majadiliano yanaendelea na wawekezaji baada ya “kuwepo masharti yasiyokuwa na maslahi kwa Taifa”.
Mwaka 1995 ilikuwa ni anasa kumiliki simu ya mkononi. Kati ya watumiaji 100 wa simu, ni takriban watatu tu walikuwa wakitumia simu za mkononi kwa mujibu wa takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Mwenyekiti wake wa Bodi ya Wakurugenzi amesema wanatarajia faida baada ya kodi kuongezeka kwa asilimia 49 huku faida kabla ya kodi inatarajiwa kushuka kwa asilimia 44.
Lipo General Studies ambalo huchukuliwa poa na wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu. Hesabu, Kemia na Fizikia bado mziki mzito.
Asilimia 95 ya makusanyo ya Ofisi ya Rais-Tamisemi mwaka 2019/2020 yanatarajiwa kukusanywa kutoka katika halmashauri zote nchini ikiwa ni kibarua kigumu kwa viongozi wa mamlaka hizo.
Asema wakiendelea kununua kwa ajili ya kuiuza kabla ya Juni 1 itawadodea.
Imesema haina mpango wa kufunga biashara za saluni za kubandika kucha bandia kwasababu hakuna taarifa za madhara ya matumizi ya kucha hizo.
Hayo yamebainika katika ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha wa 2017/18 jambo linalopunguza uwezo wake wa kuendelea kuwakopesha wanafunzi wapya na wanaoendelea.
Asilimia 94 ya uzalishaji wa karafuu visiwani Zanzibar ulirekodiwa katika mikoa ya Kusini Pemba na Kaskazini Pemba.
Zaidi ya robo ya mikopo iliyokopesha ndani ya kipindi cha mwaka moja ilielekezwa kwa watu binafsi ikifuatiwa na shughuli za biashara.
Hakuna ambacho hukera zaidi kama wakati upo sebuleni unatazama televisheni na ghafla rimoti ikakugomea kufanya kazi unayoiamuru kama kuongeza sauti ama kuhamisha chaneli.
Fedha hizo zimetolewa na Serikali kukarabati shule 42 kati ya 88 zilizopo nchini ambazo zinahitaji maboresho makubwa.
Benki Kuu ya Tanzania yaeleza kuwa uchumi ulikua kwa wastani wa asilimia 6.7 katika kipindi cha Januari hadi Septemba 2018 kutoka asilimia 6.2 ya kipindi kama hicho mwaka 2017.
Mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi Zanzibar yalishuka hadi Dola za Marekani 205.5 milioni (zaidi ya Sh468.5 bilioni) kwa mwaka ulioishia Novemba 2018 kutoka Dola Milioni 210 (zaidi ya Sh478.8 bilioni) Novemba 2017.