CCM yazidi kuongeza umiliki wa vyombo vya habari Tanzania
Mwenyekiti wa chama hicho Rais John Magufuli amesema Africa Media Group inayomiliki vituo vya Channel Ten, Magic FM na Classic FM ni mali ya CCM.
Mwenyekiti wa chama hicho Rais John Magufuli amesema Africa Media Group inayomiliki vituo vya Channel Ten, Magic FM na Classic FM ni mali ya CCM.
Ndani ya mwaka mmoja watumiaji wa huduma za kifedha kupitia simu wameongezeka kwa takriban milioni 1.5.
Kuzima data wakati hutumii intaneti ni moja ya njia rahisi za kudhibiti matumizi makubwa ya vifurushi vya mtandao.
Mkoa wa Dar es Salaam pekee una zaidi ya robo ya wafanyakazi wa viwandani sawa na jumla ya wale waliopo mikoa ya Morogoro, Arusha na Kilimanjaro.
Waziri wa nishati wa Uganda amesema mabadiliko ya muundo wa kibiashara na kifedha katikati ya safari yamechangia kuchelewesha utekelezaji wa mradi huo mkubwa.
Amesema korosho hizo zimeshaanza kununuliwa kwa Sh3,300 kwa kilo na wakulima wameshaanza kulipwa malipo yao.
Japhet Hasunga sasa kumrithi Dk Charles Tizeba huku Joseph Kakunda akienda kuziba nafasi ya Dk Charles Mwijage.
Idara ya uhamiaji imesema wafanyakazi hao walikuwa nchini kwa ajili ya matembezi lakini walianza kufanya mikutano na wanahabari “kinyume na sheria.”
Yaeleza kuwa walikamatwa wakiwa hotelini jijini Dar es Salaam Jumatano hii na kupelekwa kusikojulikana.
Kamanda Mambosasa amesema watekaji walimtelekeza Gymkana na gari lililokuwa linasakwa na polisi.
IGP Simon Sirro amesema wanawasiliana na polisi wa kimataifa (Interpol) baada ya uchunguzi wa awali kuonyesha kuwa gari linalodaiwa kuhusika limetokea nchi jirani.
Tume hiyo ya watu saba itafanya kazi kwa mwezi mmoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atawapatia hadidu za rejea kwa ajili ya uchunguzi huo.
Mtu huyo aliyeokolewa ni fundi mkuu wa kivuko hicho cha Mv Nyerere.
Matumizi ya barabara hiyo ya juu yatasaidia kuokoa asilimia 80 ya muda ambao hutumika kusafiri kutoka Posta kwenda ‘Airport’.
Utafiti wa FSDT wa mwaka 2017 unaeleza kuwa takriban robo tatu ya Watanzania wanaweza kusoma na kuandika Kiswahili ikilinganishwa na robo tu ya wanaoweza kufanya hivyo katika Kiingereza.
Waraka wa BoT unaeleza kuwa riba hiyo ambayo hutumika kuzikopesha benki za biashara imeshuka hadi asilimia saba kutoka asilimia tisa ya awali.
Maboresho hayo yanataka mtu aliyethibitishwa na NBS kufanya utafiti kupata idhini ya ofisi hiyo kabla ya kuwasilisha matokeo hayo kwa umma.
Ili kupata wateja wengi na wanaotumia kiasi kikubwa cha pesa kufanya manunuzi, usisahau kuweka intaneti (WI-FI) ya bure na sehemu za kuchajia simu katika eneo la biashara.