Sababu za miguu kutoa harufu mbaya
Chanzo cha kutoa harufu kwenye miguu ni uwepo wa bakteria ambao wanasababishwa na jasho ambalo miguu hutoa inapokuwa kwenye joto.
Chanzo cha kutoa harufu kwenye miguu ni uwepo wa bakteria ambao wanasababishwa na jasho ambalo miguu hutoa inapokuwa kwenye joto.
Inamhusu Hubie ambaye analazimika kufunga safari ya kuokoa mtaa wake.
Ahoji matumizi ya fedha za mradi huo ikiwemo kuongezeka kwa bajeti kutoka Sh51 bilioni hadi Sh71 bilioni.
Ni pamoja na kutumia njia sahihi za kuhifadhi na kununua chakula kulingana na mahitaji ya familia.
Simu hiyo inakuja na matoleo manne ambayo yatakuwa na uwezo mkubwa wa utendaji kuliko matoleo yaliyopita.
Baadhi ya bidhaa zikiwemo pafyumu zenye harufu kali huwafanya watoto kupata mafua na kushindwa kupumua vizuri.
Ni filamu inayomhusu mwandishi wa habari anayejulikana kama Ellie anayejikuta akijifunga ndani ya habari ya uchunguzi aliyokuwa akiifanya.
Unakuwezesha kufahamu gharama ya kifungashio na uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya usafirishaji.
Usafi wa mgahawa ni pamoja na kuhakikisha chakula kinachopikwa kinalinda afya za wateja wako.
Wakati wenzake wakicheza mdako, Mulan alikuwa akikimbiza kuku huku akipaa naye hadi juu ya paa na mafunzo ya Tai Chi kwake ilikuwa ni kitu cha kawaida sana.
Ni pamoja na kuwa uhakika wa gharama zitakazotumika katika kipindi chote na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu.
Kumbuka majonzi na huzuni vinasaidia kujenga ukomavu wa kifikra
Maua ni njia mojawapo ya mawasiliano na kila rangi ya au hubeba ujumbe fulani kwa mtu anayepokea.
Wakati wengine wakifikiria ni kitendo cha upendo wengine wanasema ni kupoteza fedha kununua maua.
Utafiti wa kimasoko ni kitendo kinachodhamiria kufahamu mambo mbalimbali kuhusu soko la bidhaa au huduma na mahitaji ya watumiaji wa bidhaa husika.
Visasi, vitimbi vya kukata na shoka na sekunde za kushikilia pumzi yako ni kati ya vitu utakavyovikuta kwenye filamu hii.
Ni pamoja na wadau wa sherehe na mtu mmoja mmoja ambao huyapata maua hayo kwa gharama inayoanzia Sh1000.
Ni viatu aina ya skechers vilivytengenezwa kwa teknolojia inayoondoa jasho linalosababisha harufu kwenye miguu.
Kinachokufanya upate changamoto hizo ni kushindwa kuzingatia mambo muhimu mabayo unatakiwa kuyafahamu kabla ya kupata nyumba ya kupanga.
Tuzo za mwajiri bora (EYA) ambazo hutolewa kila mwaka tangu mwaka 2005 zimekuwa chachu kwa waajiri Tanzania kuwawekea mazingira bora ya kazi wafanyakazi wake ili kuwawezesha kupata haki zao.