Fanya haya ukigundua umeweka mafuta yasiyo sahihi kwenye gari lako
Ikitokea hali hiyo imekukuta, huna haja ya kuhofia kuhusu uharibifu wa gari yako. Fanya haya kuliokoa gari lako ikitokea umeweka mafuta yasiyohitajika.
Ikitokea hali hiyo imekukuta, huna haja ya kuhofia kuhusu uharibifu wa gari yako. Fanya haya kuliokoa gari lako ikitokea umeweka mafuta yasiyohitajika.
Je, ni vitu gani unavyotakiwa kuzingatia unapotaka kumnunulia mama yako zawadi?
Ndiyo, geto la mshikaji bila mfumo wa sauti huenda likaonekana kama halijakamilika hivi kwani mbali na kusikiliza muziki, huenda mfumo wa sauti ukatumika kwa shughuli zingine zikiwemo kupunguza kelele za majirani zako.
“Asante Katie, nisingeweza kufikia hapa bila wewe. Mwangalizi wangu mpya, mwenzi na rafiki,” ni maneno ya Leonard (Elliott Gould) kwa mwangalizi wake Katie (Camila Mendes) katika filamu ya “Dangerous Lies”.
Kampuni hiyo ambayo inafanya kazi mtandaoni imekuwa ikiwasaidia watu wanaosafiri kupata hoteli na maeneo ya utalii duniani.
Rais Magufuli katika taarifa yake iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, amesema marehemu amefikishwa hospitali leo (Mei 1, 2020) akiwa tayari amefariki dunia.
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya imekiagiza Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Mwanza (Nyanza) kubuni njia muafaka za kujitegemea kiundeshaji kwa kutumia rasilimali nyingi ilizonazo.
Kukuta tabasamu kwenye uso wangu siyo kitu kigeni kwani hakuna ninachokifanya bila kukifurahia.
Ni Shule ya mtandaoni inayoohitaji intaneti tu, kwa mafunzo mubashara kati ya mwalimu na mwanafunzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya hiyo Jaji Mstaafu Thomas Mihayo amesema ugonjwa wa COVID-19 umeathiri kwa sehemu kubwa sekta ya utalii duniani na inahitajika mikakati mipya kuinua tena shughuli za utalii nchini.
Kampuni hiyo yenye makao makuu yake nchini Marekani imesema kuwa kuanzia Mei mwaka huu, wapangishaji wanatakiwa kuimarisha usafi katika nyumba wanazopangisha ili kuwakinga wateja wao na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19).
Harufu hiyo huwasaidia watu kunukia vizuri mbele ya watu na wakati mwingine kukata halafu ya asili hasa maeneo yenye joto na mikusanyiko ya watu.
Mawazo hayo huweza kuwa rahisi endapo utazingatia vitu vichache vitakavyofanya upangaji wa sebule yako kuwa rahisi na kuepukana na majuto hapo mbeleni endapo mambo yataenda kombo.
Waziri huyo ameweka wazi kuwa atachukua hatua kwa taasisi hizo ambazo hakuzitaja kwa majina pale zitakapoendelea kuuza kwa bei zinazojipangia.
Ni filamu inayomhusu binti mdogo ambaye baba yake ana ulemavu wa akili. Kilele cha filamu hii ni hukumu ya kunyongwa inapotolewa kwa baba huyo kwa kusingiziwa kuua mtoto wa kamanda.
Kilele cha filamu hii ni hukumu ya kunyongwa inapotolewa kwa baba huyo kwa
Marufuku ya mikusanyiko imeleta athari nyingi hasa kwa wanamuziki ambao walikuwa wakitumbuiza katika maeneo mbalimbali na kujipatia kipato kwa ajili ya maisha yao.
Muendelezo wa maajabu ya kampuni hiyo unaendelea baada ya kuitangaza simu yake mpya ya Motorola Edge Plus ambayo inajitambulisha kama simu yenye kasi ya 5G inayopiga kikumbo simu zingine zote zenye kutumia teknolojia hiyo.
iphone SE ni simu itakayompatia mtumiaji wa simu za iPhone sababu zote za kuhamia kwenye simu hiyo huku ikivimba kifua kwa kusema ni simu ambayo kila mtu amekuwa akiisubiria.
Uteuzi huo umemaweka watumishi watatu kwenye nafasi mpya seerikalini.
Apple katika taarifa yake iliyotolewa leo (Aprili 21,2020) imetaja nchi 17 za Afrika ambazo zimeongezwa kwenye orodha yake ya huduma hiyo ikiwemo Tanzania.