Benki ya Dunia yaeleza sababu za kuipatia Tanzania mkopo wa Sh1 trilioni
Yasema imeridhishwa na utekelezaji wa mpango wa kipindi cha pili wa kunusuru kaya masikini ambao upo chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf).
Yasema imeridhishwa na utekelezaji wa mpango wa kipindi cha pili wa kunusuru kaya masikini ambao upo chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf).
Kuna mambo mengi yanayowza kukusababisha utafute sababu za kuacha kazi uliyonayo sasa na kutafuta nyingine inayoweza kukamilisha furaha au malengo yako.
Amekuwa na mwenendo wa kupanda na kushuka katika mitandaoni hasa Youtube huku akionyesha kuendelea kufanya vizuri katika kazi ya muziki wake.
Wengi husema kati ya watu wasio na furaha duniani ni wale wanaowapa furaha wenzao. Msemo huu umetia nanga kwenye filamu hii kwani Arthur Fleck (Joaquin Phoenix) ambaye ni mchekeshaji aliyeshindwa kuendeleza malengo yake anageuka kuwa mhalifu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaja utapiamlo kama moja ya vikwazo vitakavyokwamisha Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 kama lishe bora haitozingatiwa kwa Watanzania.
Wimbo huo kwa sasa ni miongoni mwa zile zinazotazamwa zaidi Youtube. Ulirekodiwa rasmi mwaka 2014 na kuzinduliwa mwaka mmoja baadaye.
Vijana hao wenye ushawishi kutoka Tanzania ni Kennedy Mmari, Dk Felix Manyogote na Petrider Paul.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewatoa hofu wakazi wa mikoa hiyo na kuwataka waendelee na shughuli zao kwa sababu hali ya hewa iko vizuri.
Tanzania na Uganda zimejipanga na zinaendelea kutumia teknolojia kurahisisha vipimo vya Ukimwi ili kuondoa tishio la ugonjwa huo kuondoa uhai wa watu na nguvu kazi ya Taifa lakini matumizi ya teknolojia kutokomeza ugonjwa huo bado yanaibua mjadala kwenye j
Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya wazee duniani, Serikali na wadau mbalimbali wameitaka jamii kutokwepa jukumu la kuwatunza wazee kwani nguvu zao za uzalishaji mali zimepungua.
Rais John Magufuli amesaini sheria nne ikiwemo ya Sheria ya Serikali Mtandao namba 10 ya mwaka 2019 zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Tanzania ili zianze kutumika rasmi.
Rais John Magufuli ameongeza siku saba kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi ili kufikisha maombi ya kukiri makosa na kulipa fedha za umma katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP).
Licha ya kuibua hisia kwa mtazamaji, filamu hizi zitakufundisha kuwa binadamu mwema ana mapenzi na familia yake. Zinaonyeshwa kwa siku saba kuanzia leo Septemba 27 katika kumbi mbalimbali za sinema.
Mambo hayo ni pamoja na kuwa msikivu, ongea unachokijua kwa ufasaha na tumia lugha ya mwili ikiwemo tabasamu.
Rais John Magufuli amemteua Dk Amina Msengwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akichukua nafasi ya mtangulizi wake, Adrew Masawe aliyemaliza muda wake.
Itasaidia kuondoa usumbufu wa kukagua hati za kusafiria pamoja na kupunguza muda ambao abiria anatumia kukaguliwa.
Kampuni inayotengeneza ndege ya Boeing imeanza mchakato wa kuzilipa fidia familia za watu waliopoteza maisha katika ajali mbili za ndege aina ya Boeing 737 Max 8 zilizotokea Indonesia na Ethiopia mwaka huu lakini familia hizo zimesema kiasi kilichopangwa k
Orodha hiyo imeongozwa na msanii Kanye West ambaye anamiliki Sh344.7 bilioni akitawaliwa na wanaume ambo wote wanatoaka nchini Marekani.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuwapa mikopo wanafunzi wote ambao walikua wakisoma shule binafsi kwa ufadhili.
Filamu hiyo ni Ad Astra iliyogharimu Sh229.8bilioni itaonyeshwa katika kumbi mbalimbali za sinema wiki nzima kuanzia leo.