Corona ilivyoshusha ukuaji wa uchumi Tanzania hadi asilimia 4.8 mwaka 2020
Sekta mbalimbali zikiwemo sekta ya sanaa na malazi ziliathiriwa na ugonjwa wa corona.
Sekta mbalimbali zikiwemo sekta ya sanaa na malazi ziliathiriwa na ugonjwa wa corona.
Habari isiyo ya ukweli inaweza kusababisha taharuki katika jamii endapo itaenea.
Amesema serikali itajenga shule zakufundisha masomo ya sayansi kila mkoa kwa ajili ya wasichana.
Teknolojia hiyo inatarajiwa kuondoa changamoto za kimazingira zainazosababishwa na shhughuli za binadamu.
Mama mjamzito anatakiwa kuondoa mzingira yote yatakayompa mawazo ikiwa ni pamoja na uhakika wa hospitali ya kujifungulia.
Ni zilizozingatia uwiano wa kamera, uwezo wa kumbukumbu na wa betri.
Wengi kwa sasa wanaona sayansi ni kama fursa hivyo wanachangamkia masomo hayo.
Ni pamoja na faragha, kusoma tarehe ya mwisho wa matumizi na saizi.
Pale muuaji anapokataa makosa mahakamani na kusema aliyeua ni shetani, nani afungwe kwa kosa hilo?
Inakadiriwa kwa mwaka, watoto zaidi ya 10,000 huzaliwa na ugonjwa wa seli mundu.
Mzunguko wa hedhi huambatana na mambo mengi kwa wanawake. Ukifahamu mzunguko wa mwenzi wako itakusaidia kuishi naye vizuri akiwa kwenye siku zake za hedhi.
Unahsuriwa kuwa makini na picha unayoichora, sehemu unapochora na ukubwa wa tatoo yako kwani baadhi ya fursa zitakupita.
Amesema wasimamie maslahi ya Watanzania na kutatua kero zao.
Wamesema ni huduma nzuri hasa kwa watu wanaoishi mbali na maduka ya watoa huduma.
Ni kwa ajili ya kumlinda Mtanzania anayevuta sigara bila hiari na kuwaelimisha watumiaji wa tumbaku kuachana na matumizi.
Kwa baadhi, changamoto za maisha zinawafanya wakose tumaini na hivyo kukatisha maisha yao.
Unaposhindwa kunyoa nywele sehemu za siri kwa usahihi unaweza kupata changamoto mbalimbali za kiafya ikiwemo magonjwa ya ngozi.
Estella anayekua akijua mama yake amekufa, anagundua kuwa mama yake yupo hai na aliagiza mauaji yake wakati akiwa mtoto.
Ameiagiza Takukuru kufanya uchunguzi huo na endapo hawatokuwa na hatia, warejee katika majukumu yao.
Tatizo hilo linasababisha saratani ya mapafu na moyo, changamoto ya macho, ugumba na magonjwa mengine ambayo huongeza umaskini kwenye familia.