Kwa nini ubadilishe mswaki baada ya kupona Corona?
Wataalam wa afya wasema kuna uwezekano wa virusi vya ugonjwa huo kubaki kwenye mswaki wa zamani na kuibua maambukizi mapya.
Wataalam wa afya wasema kuna uwezekano wa virusi vya ugonjwa huo kubaki kwenye mswaki wa zamani na kuibua maambukizi mapya.
Chanjo hiyo ni msaada kupitia mpango wa usambazaji chanjo kwa nchi zenye uchumi wa chini wa Covax.
Amezushiwa kuwa amesema chanjo ina madhara na waliopata watakufa baada ya miaka miwili katika mahojiano yake aliyofanya na kipindi cha televisheni cha France 24.
Mankind Pharma wamesema dawa ya Ziverdokit haijathibitishwa na WHO licha ya kuwa inatibu Corona.
Licha ya kuwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wako likizo, Serikali haijatoa tamko lolote la kuzifunga shule hizo kipindi hiki.
Watakiwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika mapambano hayo.
Rais Samia amezushiwa kuwa ameagiza kuwa uvaaji barakoa siyo hiari bali ni lazima. Hata hivyo, Rais hajatoa maagizo kama hayo.
Gazeti hilo limezushiwa kusitisha uchapishaji kutokana na waandishi wake watatu kukutwa na Corona.
Watu watakiwa kupata taarifa za chanjo ya Corona kutoka vyanzo vya kuaminika.
Kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta imezindua maabara ya mafunzo ambayo ni ya kwanza kumilikiwa na kampuni ya kibiashara Tanzania itakayokuwa inatoa mafunzo yatakayosaidia kuikuza tasnia ya habari nchini.
Hakuna tafiti rasmi iliyothibitisha madai hayo.
Kama umeshakutana na taarifa inayosambaa kwenye mtandao wa Whatsapp juu Serikali ya Tanzania kuamuru wafanyakazi na wanafunzi kukaa nyumbani ili kujikinga na Corona, fahamu kuwa huo ni uzushi.
Ni mwanzilishi wa kampuni ya Amazon Jeff Bezos ambaye amezushiwa kuwa amesema barakoa za bluu zinazotengenezwa Ulaya zina sumu na Waafrika wasitumie.
Ni kitakasa mikono aina ya Farah ambacho kimezushiwa kuwa kinaleta madhara kwenye mikono wakati wakukitumia lakini siyo kweli kwa sababu ni salama.
Linawakutanisha pamoja wadau wa maendeleo, sanaa, utamaduni, habari na teknolojia.
Shirika hilo la afya limezuishiwa kuwa limetangaza kutoa fedha za kupambana na Corona kwa kutumia tovuti feki.
Kampuni hiyo imezushiwa kusitisha safari kutokana na janga la Corona.
Wametumia picha alipoenda kupata chanjo ya mafua Septemba 28, 2020.
Ni madai kuwa “mgonjwa wa Corona aliyepata chanjo kaanza kutafuna wagonjwa wengine”
WHO bado haijathibitisha dawa yoyote itakayotumika kama tiba dhidi ya virusi vya Corona.