Ni uzushi: Kupiga mbizi kwenye maji hakusababishi Corona
Unashauriwa kuendelea kuchukua tahari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.
Unashauriwa kuendelea kuchukua tahari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.
Watoa huduma za chakula wanatakiwa kuimarisha usafi maeneo yao.
Njia pekee ya kudhibiti maambukizi ni kwa kunawa mikono kwa maji safi tiririka, kuvaa barakoa na kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima
Ni mfumo unarahisisha utoaji huduma za kampuni hiyo ya simu ikiwemo M-Pesa.
Ufaulu wa wasichana umekuwa bora kuliko wa wavulana kwa takriban asilimia moja
Imependekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye bima za kilimo cha mazao
Miradi na shughuli za kipaumbele kwa mwaka 2020/21 ni mwendelezo wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21.
Ni muhimu kuyafahamu kabla ya kuthibitisha habari yoyote ya uzushi kuhusu Corona.
Mpaka sasa, shirika hilo imewafikia wanafunzi zaidi ya 100,000 na walimu zaidi ya 3,000 Tanzania wanaofundishwa namna ya kutumia teknolojia katika kujifunzia na kufundisha.
Baada ya Jumia Food kufungasha vilago Tanzania, zaidi ya kampuni nne zainyakua fursa ya biashara hiyo mtandaoni
Mito hiyo inatumika kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi ikiwemo uvuvi na kilimo lakini inatumiwa kama mipaka inayotenganisha Tanzania na nchi zingine.
Itaendelea kuenzi mchango na kazi nzuri inayofanywa na vituo vya redio nchini
Linalenga kujadili maeneo kadhaa ya utafiti ikiwemo kutambua chanzo cha virusi vya Corona.
Itasitisha utafutaji wa taarifa zisizotumia mfumo wa (HTTPS) katika vitafutishi vilivyo chini ya kampuni hiyo.
Ni mfanyakazi wa idara ya Uchumi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Daniel Maleki.
Ni jukwaa la mtandaoni linalowawezesha wakulima kupata soko la mazao yao katika mikoa mbalimbali nchini na kuwaondolea changamoto ya mazao kuharibika shambani.
Kasi ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma kwa mwezi Januari 2020, umeshuka hadi kufikia asilimia asilimia 3.7 kutoka 3.8 iliyorekodiwa katika mwaka ulioishia Disemba 2019.
Sababu kubwa i ni kukosa kutoa huduma na kuwapa bidhaa bora wateja wako.
Zingatia kusoma maelekezo vizuri yaliyowekwa kwenye vifaa hivyo kabla ya kutumia.
Licha mchuano huo, bado watalii kutoka nje ndiyo wanaongoza kutembelea hifadhi hiyo.