Madaktari kukusanya mapato vituo vya afya
Serikali imesema inaendelea kutoa mafunzo ya usimamizi wa fedha kwa Waganga Wafawidhi ili kutatua changamoto ya upungufu wa wahasibu na kuongeza mapato katika zahanati na vituo vya afya nchini Tanzania.
Serikali imesema inaendelea kutoa mafunzo ya usimamizi wa fedha kwa Waganga Wafawidhi ili kutatua changamoto ya upungufu wa wahasibu na kuongeza mapato katika zahanati na vituo vya afya nchini Tanzania.
Ni mashine inayosaidia kuepukana na hatari ya kupata magonjwa kama saratani na unene uliopitiliza.
Ni muda mzuri wa kuangalia fursa zingine zitakazosaidia kuboresha maisha nje ya kazi unayofanya.
Wameshauriwa kuwa wavumilivu na watatuzi wa changamoto na mazingira yasiyoridhisha ya kazi ili kuaminiwa na waajiri wao.
Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amesema Serikali itawachukulia hatua za kisheria wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm) waliosimamishwa masomo kwa madai ya kutishia kuandamana kama changamoto zao za mikopo zisinges
Mwaka 2018, uzalishaji wa samaki hao uliongezeka hadi kufikia tani 14,800 ikilinganishwa na tani 11,000 zilizozalishwa mwaka 2017
Itasaidia kujua wanawake walio na matatizo katika umiliki ardhi Tanzania.
Baadhi ya makosa hayo ni matumizi yasiyo sahihi ya barua pepe na kukosa umakini wakati kutuma maombi ya kazi.
Ubalozi wa Tanzania nchini humo umesema mpaka sasa hakuna Mtanzania aliyethibitika kupata ugonjwa huo.
Husaidia katika kubaini simu iliyopotea na mahali ilipo ikiwa namba hizo zitatumika kikamilifu.
Akiba ni msingi unaoweza kukuza biashara na kuwa kubwa zaidi.
Zinasaidia kupata chakula, usafiri na maeneo ya kutembelea.
Alipata msamaria mwema aliyemwanzishia biashara ya kuuza ice cream baada ya kumkuta akiombaomba Kariakoo
Ni mashine maalum ya kuondoa vumbi, wadudu kwenye nguo kwa kutumia hewa na mvuke wa joto na kuziacha zikiwa safi na kuvutia.
TCRA yasema kuna laini zaidi ya milioni 16 ambazo usajili wake haujulikani kwa sababu mbalimbali
Zitakusaidia kufanya maamuzi ya namna ya kutumia pesa zako kwa uhuru wakati ukifanya manunuzi mtandaoni.
Lengo kubwa la kuanzisha tuzo hizo ni kutambua, kutunza ubunifu, uvumbuzi na ufanisi katika utumiaji wa teknolojia Tanzania.
Imeingia ubia na programu tumishi ya Pointy kuwasaidia wafanyabiashara kupata soko kwa njia ya mtandao.
Bei ya jumla ya gunia la mahindi imepanda mara mbili ndani ya mwaka mmoja hadi Sh84,739 Novemba 2019 kutoka Sh42,362 iliyorekodiwa Novemba 2018.
Alisomea taaluma ya uhasibu lakini akaamua kutumia kipaji chake kuanzisha kampuni ya teknolojia.