“Startups” zaanza kutumia fursa iliyoachwa na Jumia Tanzania
Zaanza kufungua maduka ya mtandaoni kutoa huduma kama za Jumia na kuzifanyia kazi changamoto za muda na usambazaji wa bidhaa kwa wateja.
Zaanza kufungua maduka ya mtandaoni kutoa huduma kama za Jumia na kuzifanyia kazi changamoto za muda na usambazaji wa bidhaa kwa wateja.
Siku mbili baada ya Baraza la Mtihani la Taifa (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne ya mwaka 2019, wadau wa masuala ya elimu wameeleza mambo mambo yanayotakiwa kufanywa ili kuongeza ufaulu na kuwasaidia watahiniwa waliofeli kutumiza ndoto
Bagamoyo imeungana na halmashauri zingine tisa ambazo zinaunda orodha hiyo ya dhahabu ya 10 zilizofanya vizuri kitaifa.
Kampuni ya Canon ya nchini Japan imetangaza kuwa inatarajia kuingiza sokoni kamera inayoendeshwa na mfumo wa roboti ili kuwawezesha watumiaji kupata picha za mnato ambazo ni vigumu kupatikana kwa njia ya kawaida ya upigaji picha.
Serikali imesema kuwa sera ya elimu bure siyo sababu ya wazazi na walezi kukosa ubunifu wa kuwasaidia wanafunzi kufanya vizuri darasani ikiwemo kuanzisha mikakati ya kuwapatia chakula katika maeneo yao.
Ni njia rahisi ya kuwafikia wateja popote walipo na wakati wowote ili kuwaizia bidhaa na huduma.
Wauchagua mtandao uitwao Schoolbiz kuwaunganisha wajasiriamali vijana kutoka China na Tanzania.
Vinasaidia kuokoa matumizi makubwa ya maji na ni mbadala pale kimoja kinapoacha kufanya kazi.
Zoezi hilo litafanyika mpaka Machi 31, 2020 kwa makampuni na biashara ambazo hazijahuisha taarifa mtandaoni
Zimewekeza katika kutumia teknolojia ili kuboresha maisha ya wananchi na kujipatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania.
Programu nyingine zilizoingia kwenye orodha hiyo ni pamoja na Messenger, Instagram, Whatsapp,Twitter, Snapchat, Tiktok na Skype.
Litatumia mfumo endeshi wa iOS kama ilivyo kwa simu za iPhone na kuleta ushindani kwa kampuni zinazotengeneza magari duniani.
Ni zawadi unazoweza kumpatia umpendae katika kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Alama za madoa hayo hutumika kushIkilia kioo kisipate hitilafu ya kuanguka au kuvunjika.
Inadaiwa kwamba Google wamekuwa wakitumia nyimbo kutoka Genius kwenye kitafutishi chake bila kufuata taratibu.
Imefanya maboresho ya kitafutishi chake cha Microsoft Edge ili kuwapa wateja wake uwezo mkubwa wa kupata vitu wanavyotafuta mtandaoni.
Unashauriwa kuzingatia baadhi ya mambo ikiwemo kupanga bajeti ili kuhakikisha unakuwa na matumizi mazuri ya pesa katika kipindi hiki kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka na kufungua mwaka.
Usomaji wa taarifa hizo kwa umakini husaidia mtumiaji kufahamu malighafi zilizotumika kutengeneza bidhaa hizo na iwapo zina madhara au mzio kwake
Ni kitufe kinaitwa “Defrost Button”, wapishi wanakikwepa kwa sababu mara nyingi hakileti matokeo yaliyokusudiwa.
Baada ya Twitter kubaini uwepo wa akaunti nyingi ambazo hazitumiki (Inactive accounts) katika mtandao wake, imekuja na mpango mkakati utakaowaamsha watumiaji wenye malengo wa kuendelea kuwa na akaunti hizo.