Google sasa kukuchagulia usafiri wa ndege wa bei nafuu
Watu wanaotaka usafiri wa bei chee nao kuhudumiwa kama ilivyo kwa wenye fedha nyingi.
Watu wanaotaka usafiri wa bei chee nao kuhudumiwa kama ilivyo kwa wenye fedha nyingi.
Umuhimu wa kifaa hicho kinasaidia mtu kupumua vizuri bila shida pindi anapokuwa kwenye usingizi.
Mrushaji anatakiwa kupata vibali vinne kikiwemo cha Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA).
Safari imefungua mlango kwa watumiaji wa simu hizo kutumia bidhaa yake ya “Google Maps” iliyoboreshwa zaidi ambayo inawawezesha kujua hali ya barabara wakati wowote kwa kuwajulisha kama kuna ajali imetokea, barabara inajengwa au inafanyiwa ukarabati.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania, Ali Mafuruki ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia Desemba 1, 2019 ili apate muda zaidi wa kuendelea na biashara zake.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtama na Mkurugenzi wa Umwagiliaji wa Kanda ya Kusini, wafike ofisini kwake Dar es Salaam kesho asubuhi na taarifa kuhusu kusua sua kwa skimu ya umwagiliaji ya Narunyu.
Muonekano huo ni ule ambao milango ya vyoo inabaki na nafasi ya wazi sehemu ya chini, ambapo mtu aliyepo nje anaona kwa sehemu ndani ya chumba cha choo.
Expedia Action, kampuni inayoratibu usafiri wa ndege ikishirikiana na moja ya bidhaa ya Google ya “Google Assistant” wamezindua teknolojia itakayomwezesha msafiri kuratibu safari na mahali atakapofikia kwa njia rahisi ya kinasa sauti.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka vijana waondokane na dhana ya kuwa kazi bora ni zile za kukaa ofisini, bali wafanye kazi za uzalishaji mali ili kukuza vipato vyao.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amezindua mfumo wa kidijitali wa kuwawezesha wananchi wa mkoa huo kuwasilisha kero na changamoto walizonazo kwa kutumia simu au kompyuta ili ujumbe uwafikie watendaji kwa haraka na kupatiwa majibu ndani ya muda m
Ni kifaa cha kutafsiri lugha cha “Translaty” chenye uwezo wa kutafsiri lugha zaidi ya 40 kinachomsaidia mtu yeyote anayetembelea nchi ya kigeni inayozungumza lugha asiyoielewa na kupata tafisri ya kile kinachozungumzwa na wenyeji wake kwa lugha aliyoizoea.
Imewatengenezea jukwaa maalum wagombea wa nafasi mbalimbali ili kunadi sera zao kwa wananchi.
Serikali imesema itaendelea kuchukua hatua ya mbalimbali kupunguza uagizaji wa baadhi ya bidhaa zinazozalishwa nje ya Tanzania ikiwemo kuwaelimisha Watanzania kuthamini bidhaa za ndani ili kuimarisha na kukuza viwanda vya ndani.
Kampuni ya simu ya Apple imetangaza kutoa ofa ya kutengeneza bure simu aina ya Iphone 6S na 6S Plus ikiwa zitapata matatizo ya kuzimika ghafla wakati wa kuzitumia.
Moja ya sifa yake ya pekee ni uwezo wake wa kutumia mfumo endeshi wa Android ambao hautumiki na simu za Microsoft.
Ni pamoja na kujua tamaduni, lugha na hali ya hewa ya eneo utakalofikia.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Dk Edwin Mhede ameeleza sababu mbalimbali zilizochangia kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato ya Sh1.7 trilioni mwezi Septemba mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuziba mianya ya ukwepaji kodi kwa kusimamia ki
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (Heslb) imetoa orodha ya waombaji 10,452 wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ambao fomu zao zina upungufu ili wafanye marekebisho kwa siku nne.
Raisi John Magufuli amefanya mabadiliko mbalimbali ya viongozi wa Serikali ikiwemo kumteua Dk Wilson Mahera kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Jenga uaminifu kwa wateja wako kwa kuwapa bidhaa bora na zinazokidhi mahitaji yao.