Google yaadhimisha miaka 21 ya kuzaliwa, wadau watoa neno
Kampuni hiyo ya teknolojia ya Marekani ilizaliwa Septemba 27, 1998. Inasifika zaidi kwa kutoa huduma ya watu kutafuta vitu mbalimbali mtandaoni.
Kampuni hiyo ya teknolojia ya Marekani ilizaliwa Septemba 27, 1998. Inasifika zaidi kwa kutoa huduma ya watu kutafuta vitu mbalimbali mtandaoni.
Serikali imesema itaendelea kuboresha maslahi ya wafugaji ili kuongeza kasi ya Watanzania kuywaji wa maziwa hasa wanafunzi waliopo shuleni.
Mtandao huo uko mbioni kuanzisha jukwaa jipya la “Twitter Next” ambalo linawakutanisha wadau na wabia wa biashara duniani kujadili na kushauriana njia bora za kukuza biashara na “brand” zao.
Fedha hizo zitawanufaisha watu 500,000 kutoka vijiji 165 kupata maji safi yanayosambazwa na mifumo ya umemejua.
Kuanzia Septemba 26, watumiaji wake hawataweza kuweka picha kwenye kipengele cha stori (story section) katika makundi ya mtandao huo.
Ameitaka ziwajibika ipasavyo ili kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) ya mwaka 2030.
Moja ya sifa kubwa anayotakiwa mtu kupata alama hiyo ni pamoja na kuwa na watazamaji kuanzia 100,000 na kuendelea
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zinapaswa kuwekeza katika uunganishaji na uwianishaji wa viwango mbalimbali vya Tehama ili kuleta maendeleo endelevu ya viwanda, kuongeza biashara na kutengeneza ajira.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa polisi katika nchi za mashariki mwa Afrika waweke mikakati thabiti ya kukabiliana na magenge ya uhalifu unaovuka mipaka ikiwemo kuimarisha ushirikiano.
Inawezesha utekelezaji wa mipango ya kuendesha mikutano, matamasha na maonyesho katika mashirika na makampuni mbalimbali nchini kwa njia ya mtandao.
Mito Ruvuma, Malagarasi, Kagera, Mara na Umba ndiyo mito mikubwa zaidi Tanzania.
Fedha hizo ni kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa kijamii unaolenga kuboresha maisha ya watu wanaoishi katika kaya maskini wakiwemo wanawake na watoto.
Maziwa ya Eyasi, Rukwa, Nyasa, Tanganyika na Victoria ndiyo maziwa makubwa zaidi nchini Tanzania. Yanatumika kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii kuwanufaisha wananchi na Taifa ikiwemo uvuvi na utalii.
Sasa, kila mchapishaji atatakiwa kuonyesha lengo la kuchapisha maudhui yake. Hatua hiyo ni kuwalinda watoto na maudhui yasiyofaa hasa matangazo yasiyoendana na umri wao.
Kampuni ya teknolojia ya Google imesema ifikapo Desemba 3, 2019 itaifunga rasmi programu tumishi ya Google Fusion Tables iliyokuwa inatumiwa kuchambua data na kusanifu michoro mbalimbali.
Programu hiyo mpya iliyozinduliwa jana itawawezesha wajasiriamali chipukizi na wale wanaoendelea kuanzisha biashara zenye faida zinazoweza kuwaingizia kipato cha kujikimu kimaisha.
Iko mbioni kuongeza kipengele kipya kitakachomuwezesha mtumiaji kufahamu idadi ya maneno anayoandika kama ilivyo kwa wanaotumia pragramu ya Microsoft word.
Ukifanya hayo utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutumia likizo yako vizuri kwa kufanya mambo yenye manufaa.
Imeongeza kipengele kipya kwa ajili ya mitindo baada ya kubaini kuwa ina wafuasi wengi.
Amefariki akiwa na umri wa miaka 95 na atakumbukwa zaidi kwa mchango wake wa kupigania ukombozi wa bara la Afrika.