Namna akiba inavyoweza kusaidia wafanyabiashara wadogo wadogo
Akiba ni msingi unaoweza kukuza biashara na kuwa kubwa zaidi.
Akiba ni msingi unaoweza kukuza biashara na kuwa kubwa zaidi.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya uwekezaji, Angellah Kairuki amewataka wananchi kuthubutu na kutumia teknolojia ya kisasa kuwekeza katika maeneo yenye tija nchini Tanzania ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo.
Bei ya juu ya maharage ya gunia la kilo 100 inauzwa Sh290,000 katika masoko ya Tandika na Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa imepanda kutoka Sh280,000 iliyorekodiwa wiki iliyopita jijini humo na mkoani Mtwara.
Zaanza kufungua maduka ya mtandaoni kutoa huduma kama za Jumia na kuzifanyia kazi changamoto za muda na usambazaji wa bidhaa kwa wateja.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefuta mnada wa nafaka ulioendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Januari 7, 2020 na kuuagiza uongozi wa mamlaka hiyo kutangaza upya zabuni baada ya kutoridhishwa na taratibu zilifanyika awali.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mmiliki wa kampuni ya VICOBA Foundation anashikiliwa na vyombo vya dola kwa ajili ya uchunguzi kwa madai ya kujihusisha na utapeli wa kutoa mikopo kwa kutumia majina ya viongozi wa Serikali akiwemo Rais John Magufuli kw
Wastani wa mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka 2019 umeshuka hadi asilimia 3.4 kutoka asilimia 3.5 iliyorekodiwa mwaka juzi ukichangiwa zaidi na kushuka kwa bei za bidhaa zisizo za vyakula.
Ripoti ya Tathmini ya Uchumi ya mwezi Desemba 2019 inaeleza kuwa sehemu kubwa ya mikopo kwa sekta binafsi imeendelea kuelekezwa kwa watu binafsi au kaya ambazo zilipata wastani wa asilimia 29.9 ya mikopo yote ikifuatiwa na shughuli za biashara zilizokuwa n
Mapato ya dhahabu yapaa kwa takriban asilimia 42 hadi Sh4.92 trilioni huku mapato ya mauzo yatokanayo na korosho yakiporomoka kutokana na kushuka kwa bei katika soko la dunia.
Wauchagua mtandao uitwao Schoolbiz kuwaunganisha wajasiriamali vijana kutoka China na Tanzania.
Bei za mafuta zimepanda kwa zaidi ya asilimia tatu kwenye soko la dunia baada ya Marekani kumuua kamanda wa ngazi ya juu wa jeshi la Iran, Jenerali Qasem Soleimani.
Mauzo hayo yameshuka zaidi ya mara nne kutoka Sh1.81 bilioni wiki iliyopita hadi Sh418.1 milioni juma lililoishia Januari 3, 2019.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa ni marufuku kwa mtu au taasisi yoyote kufanya biashara ya kutoa huduma ndogo za fedha bila kuwa na leseni au usajili na adhabu kali itatolewa kwa atakayekiuka sheria.
Hiyo ni baada ya Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kuainisha maeneo 15 ambayo yatahitaji msaada wa dharura wa chakula na uwekezaji kwa mwaka huu wa 2020 ikiwemo Zimbabwe na Sudan Kusini.
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya kikomo za mafuta za mwezi Januari 2020 na kuonyesha kuwa bei ya rejareja ya petroli iliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 2.07 huku ile ya dizeli ikishuka k
Rais John Magufuli amesema Serikali itaendelea kujenga mahakama katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania ili kuwapa uhuru wafanyabiashara na wawekezaji kuendesha shughuli zao na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Thamani ya mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania zilizosafirishwa nje ya nchi kwa mwaka unaoishia Oktoba 2019 imeongezeka kwa asilimia 10.3 ikichagizwa zaidi na bidhaa zisizo za asili ikiwemo dhahabu.
Serikali ya Tanzania imewataka wadau wa sekta binafsi nchini kuendelea kutoa maoni na mapendekezo yao ya kitaalamu kuhusu rasimu ya Sheria ya Uwezeshaji Biashara inayolenga kuweka mazingira wezeshi yatakayochochea ukuaji wa biashara na uchumi nchini.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amewataka viongozi wa makampuni ya biashara na uwekezaji duniani kuingia katika vita ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi kwa sababu athari zake hazitamuacha mtu yoyote salama.
Wawekezaji wa kampuni mbili katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiwemo benki ya KCB leo watalala na maumivu baada ya thamani ya hisa za kampuni hizo kushuka kwa viwango tofauti ikilinganishwa na ijumaa ya Desemba 6, 2019.