Mfumo wa kielektroniki wa taarifa za usafirishaji wazinduliwa Tanzania
Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imezindua mfumo wa kielektroniki wa habari za manunuzi, uuzaji na usafirishaji (NFLIP) utakaowasaidia wafanyabiashara kupunguza gharama za usafirishaji wa bidhaa katika nchi za jirani