Tigo yatangaza kuchukua umiliki wa Zantel
Kampuni za mawasiliano ya simu nchini Tanzania za Tigo na Zantel zimeungana rasmi baada ya kukamilika kwa taratibu za kisheria na umiliki ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma za mawasiliano nchini.
Kampuni za mawasiliano ya simu nchini Tanzania za Tigo na Zantel zimeungana rasmi baada ya kukamilika kwa taratibu za kisheria na umiliki ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma za mawasiliano nchini.
Licha ya benki ya CRDB kuongoza kwa kuuza kiwango kikubwa cha hisa katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE), thamani ya hisa zake imeshuka kwa asilimia tano na kuwafanya wawekezaji wake kupoteza Sh5 kwa kila hisa moja.
Umekua kwa wastani wa asilimia 7.2 katika robo pili ya mwaka 2019 kutoka asilimia 6.1 kipindi kama hicho mwaka 2018 huku kuaji huo ukichangiwa zaidi na shughuli za ujenzi, madini, habari na mawasiliano.
Imeshika nafasi ya 141 kati ya nchi 190 katika urahisi wa kufanya biashara duniani baada ya kupanda kwa nafasi tatu kutoka 144 mwaka 2018/2019.
Ni baada ya kugundua uwepo wa wafanyabiashara wengi wa Urusi wanaokusudia kuja Tanzania kwa ajili ya kuangalia maeneo ya uwekezaji.
Wakati thamani ya mauzo katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiongezeka kwa asilimia 35.7, wawekezaji wa kampuni ya bia ya Afrika Mashariki (EABL) na kampuni ya habari ya NMG leo watalala na maumivu baada ya thamani ya hisa za kampuni hizo kushuka k
Thamani ya mauzo ya wiki nzima katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeongezeka hadi Sh337.7 milioni kutoka Sh156.4 milioni iliyorekodiwa juma lililopita huku wachambuzi wakibainisha kuwa kunaweza kutokea mwenendo mzuri siku zijazo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ili Tanzania ifikie lengo la kuwa nchi ya kipato cha kati ifikapo 2025 inayoongozwa na uchumi wa viwanda, haina budi kutimiza vigezo mbalimbali ikiwemo cha ukuaji wa uchumi kwa kiwango cha asilimia 12 kwa mwaka.
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) imetoa siku 90 kwa makampuni na biashara zilizosajiliwa nje ya mfumo wa kielektroniki kuuhuisha taarifa zao kabla ya muda huo kumalizika.
Thamani ya hisa za kampuni ndege la Kenya Airways (KA) katika soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) zimeshuka kwa asilimia 8.33 na kuwafanya wawekezaji waliowekeza katika kampuni hiyo kupoteza Sh5 kwa kila hisa.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza kufanya utafiti wa mafuta katika bonde la Eyasi Wembere ukihusisha uchorongaji wa visima vitatu vya utafiti vyenye urefu wa mita 900, jambo linaloweza kutoa fursa kwa Tanzania kufaidika na uchumi wa
Kasi ya mfumuko wa bei za bidhaa na huduma nchini umeshuka hadi kufikia asilimia 3.4 kwa mwaka ulioishia Septemba 2019 kutoka asilimia 3.6 iliyorekodiwa Agosti mwaka huu, ikichagizwa zaidi na kupungua kwa bei za bidhaa zisizo za vyakula ikiwemo mafuta ya t
Serikali imesema itaendelea kuchukua hatua ya mbalimbali kupunguza uagizaji wa baadhi ya bidhaa zinazozalishwa nje ya Tanzania ikiwemo kuwaelimisha Watanzania kuthamini bidhaa za ndani ili kuimarisha na kukuza viwanda vya ndani.
Yasema imeridhishwa na utekelezaji wa mpango wa kipindi cha pili wa kunusuru kaya masikini ambao upo chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf).
Thamani ya mauzo ya wiki nzima katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imepanda zaidi ya mara tatu hadi Sh1.17 bilioni kutoka Sh357.4 milioni iliyorekodiwa juma lililopita huku wachambuzi wakitabiri mwenendo chanya siku zijazo.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya ya watu wenye ulemavu, Stella Ikupa amesema namna ya pekee ya watu wenye ulemavu kuondokana unyanyasaji ni kujiimarisha kiuchumi kwa kuanzisha miradi ya uzalishaji mali na kuachana na utegemezi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameutaja utapiamlo kama moja ya vikwazo vitakavyokwamisha Tanzania kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 kama lishe bora haitozingatiwa kwa Watanzania.
Wakati msimu wa korosho kwa mwaka 2019 ukitarajia kutangazwa hivi karibuni, Serikali amewaagiza wakuu wa mikoa inayolima zao hilo wasiruhusu kuingizwa kwa mfumo mpya wa ununuzi ambao haujaeleweka kwa wadau na wanunuzi.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA), Dk Edwin Mhede ameeleza sababu mbalimbali zilizochangia kuvunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato ya Sh1.7 trilioni mwezi Septemba mwaka huu, ikiwa ni pamoja na kuziba mianya ya ukwepaji kodi kwa kusimamia ki
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stella Manyanya amesema ikiwa mfumo wa kielektroniki wa utoaji taarifa za kibiashara nchini Tanzania utatumiwa vizuri utaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya biashara ikiwemo kupunguza muda anaotumiwa kupata