Mauzo soko la hisa Dar yashuka
Yameshuka kwa zaidi ya mara 21 kutoka Sh7.5 bilioni wiki iliyoishia Agosti 16 hadi Sh351.7 milioni Ijumaa ya Agosti 23, 2019.
Yameshuka kwa zaidi ya mara 21 kutoka Sh7.5 bilioni wiki iliyoishia Agosti 16 hadi Sh351.7 milioni Ijumaa ya Agosti 23, 2019.
Zimekumbushwa kujenga mifumo imara ya usimamizi wa biashara zinazoweza kutengeneza faida endelevu.
Mazao hayo ni tumbaku, kahawa, chai, korosho na pamba.
Ni Acacia, EABL na JHL ambazo thamani ya hisa zake zimeshuka kwa viwango tofauti.
Miongoni mwa filamu hizo ni pamoja na “Cats” iliyosheheni mastaa wengi wa filamu kama Taylor swift, Jennifer Hudson na Idris Elba.
Amesema uwekezaji huo utasaidia kupunguza gharama za kuagiza dawa za binadamu nje ya nchi.
Amesema uwekezaji unaofanyika katika mkoa huo uwanufaishe wananchi na kukuza pato la Taifa.
Zana hizo za kidijitali zinakuwezesha kufuatilia mwenendo wa bidhaa na huduma unazotoa mtandaoni.
Inakusudia kuimarisha utekelezaji wa sera za maendeleo hasa katika ukuzaji wa biashara ya mazao ya kilimo na mifugo kwa kutoa wataalam na ushauri ili kuwafaidisha wakulima.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Julai 2019 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia 3.7 kama ilivyokuwa Juni.
Kubali kufundishika na jenga mtandao wa marafiki watakaokuhamsisha kuwa bora kwa kile unachokifanya.
Kushuka huko kwa bei sasa kutawafanya wamiliki wa vyombo vya moto Dar es Salaam wanunue lita moja kwa Sh2,151 kutoka Sh2,312 ya Julai mwaka huu.
Ndani ya mwaka mmoja uuzaji wa bidhaa za Tanzania katika nchi hizo ulipaa kwa asilimia 12.
Amezitaka nchi wanachama kuwekeza zaidi kwenye teknolojia rahisi ya viwanda na kukuza ubunifu wa wananchi.
Amesema vitasaidia kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa soko la uhakika wa zao hilo.
Bidhaa hizo ambazo uzalishaji wake umeongezeka kwa kipindi cha mwaka mmoja ni bia, saruji, unga wa ngano, vinywaji baridi, mafuta ya kula na sukari.
Amesema kwa muda mrefu yamekuwa hayatumiki na kuzuia wawekezaji na wakulima kufaidika na kilimo cha zao.
Ni kupatiwa mafunzo ya kuwawezesha kuanisha fursa zinazowazunguka ili wajiajiri.
Imepungua hadi asilimia 6.6 katika robo ya kwanza ya mwaka 2019 kutoka asilimia 7.5 kipindi kama hicho mwaka 2018 kutokana na kupungua kwa shughuli za afya, ujenzi, elimu, habari na mawasiliano.
Sekta zinazofaidika na uwekezaji huo ni pamoja na afya na elimu.