Wataalam wa uchumi washauri namna ya kuongeza mapato sekta ya madini Tanzania
Wameshauri kupitiwa kwa utekelezaji wa sheria mpya za madini na zuio la usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.
Wameshauri kupitiwa kwa utekelezaji wa sheria mpya za madini na zuio la usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.
Wawekezaji wa Kenya Airways wanamaliza siku na maumivu baada ya thamani ya hisa za kampuni hiyo kushuka huku wenzao wa Acacia na EABL kicheko tu.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema maofisa kutoka Tanzania na Kenya watakutana wiki ijayo kujadili kwa kina baadhi ya masuala muhimu ikiwemo mgawanyo wa chakula hicho.
Awataka kupeleka mapendekezo ya namna ya kuboresha reli hiyo yenye uwezo wa kubeba tani zaidi ya milioni tano.
Yameongezeka kwa asilimia 99.9 hadi kufikia Sh948.4 milioni kutoka Sh506,500 iliyorekodiwa mwishoni mwa wiki inayoishia Julai 19, 2019.
Serikali imesema kuna soko la uhakika la ndani na nje ya nchi.
Amesema hadi kufikia Julai 30 mwaka huu, pamba yote iliyoko katika mikoa mbalimbali nchini itakuwa imeshanunuliwa na wakulima watakuwa wamelipwa fedha zao.
Tanzania ina mpango wa kujenga bandari kavu ya Inyala mkoani Mbeya kuhudumia nchi za Kusini mwa Afrika. Kenya nayo imetoa eneo la Naivasha kwa nchi za Uganda, Rwanda, Burundi, Sudan Kusini na Rwanda kwa ajili ya kujenga bandari kavu.
Naibu Waziri Mkuu wa Vietnum, Trinh Dinh Dung amesema itanunua mazao hayo ili kuyaongezea thamani kwenye viwanda vyake.
Mamlaka hiyo ya biashara nchini imesema itaendelea kuwasaidia wafaidike na fursa mbalimbali ikiwemo masoko.
Ni kampuni ya SAI ya nchini India inayodaiwa kuhusika na vitendo vya rushwa wakati wa ujenzi miradi mitatu barani Afrika ikiwemo vituo vya pamoja vya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji hao kuja nchini kwa sababu kuna malighafi nyingi ya ngozi.
Ni miamala ya fedha iliyofanywa kwa njia ya simu za mkononi Machi 2019 ambayo inafikia Sh7.82 trilioni.
Manufaa hayo yatafikiwa ikiwa itazingatia vipaumbele vya kujenga viwanda na upanuzi wa soko la bidhaa nje ya nchi.
Mwakilishi wa benki hiyo nchini amesema Tanzania ikipandishwa hadhi itapata zaidi mikopo kupitia dirisha la benki hiyo.
NBS yaeleza kuwa mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Juni 2019 ulipaa hadi asilimia 3.7 kutoka 3.5 ya Mei mwaka huu.
Licha ya wataalamu kubainisha kuwa simu za mezani zinaweza kuwa njia sahihi za kutunza nidhamu mahala pa kazi.
Kampuni tatu za Vodacom, Tigo, na Airtel zilifanikisha miamala yenye thamani ya Sh7.66 trilioni Machi 2019 ikiwa ni sawa na asilimia 98 ya thamani ya miamala yote ya huduma za simu za mkononi.
Kicheko ni kwa wawekezaji wa benki ya KCB, wakati wa Acacia, NMG na EABL watalala na maumivu baada ya thamani ya hisa za kampuni hizo kushuka kwa viwango tofauti.
Waziri huyo wa Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora amesema inakwamishwa ukuaji wa uchumi na miradi ya maendeleo.