Fedha za maendeleo zamuweka pabaya kigogo Mwanza
Ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Bugando ambaye amesusiwa mkutano na wananchi wake wakitaka waelezwe Sh1.2 milioni walizochanga kwa ajili ya maendeleo ziko wapi.
Ni Mwenyekiti wa Mtaa wa Bugando ambaye amesusiwa mkutano na wananchi wake wakitaka waelezwe Sh1.2 milioni walizochanga kwa ajili ya maendeleo ziko wapi.
Wataalam wa mazingira wameshauri watu binafsi, taasisi, mashirika na kampuni binafsi nchini Tanzania kufanya biashara ya hewa ukaa (carbon trading) ili kupunguza uchafuzi wa hewa na ongezeko la joto duniani.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimeanza kufanya maboresho ya huduma za uwekezaji kwa kuunganisha mifumo ya kielektroniki kwa taasisi na idara 11 za Serikali zinazotoa huduma kwenye kituo cha pamoja cha uwekezaji.
Licha ya kuwa chanzo cha ajira cha maelfu ya watu, vijana hawaoni kilimo cha zao la kahawa kama fursa kwao kwani zao hilo linachukuwa muda mrefu kumnufaisha mkulima.
Ni pamoja na kuchagua mtandao sahihi kwa ajili ya biashara yako na kuuza bidhaa zenye ubora na kuimarisha kitengo cha huduma kwa mteja.
Wakazi wa mji wa Mpanda mkoani Katavi leo Mei 12 ndiyo wananunua zao hilo kwa bei ya chini kabisa kuliko maeneo mengine nchini, jambo ambalo linawaweka wakulima katika wakati mgumu huku likitoa ahueni kwa walaji.
Mikopo kwa sekta binafsi nchini Tanzania imeongezeka kwa Sh465 bilioni hadi kufikia Sh20.5 trilioni katika mwaka unaoishia Machi 2021.
Kasi ya mfumuko wa bei wa Taifa imeongezeka hadi kufikia asilimia 3.3 katika mwaka ulioshia Aprili 2021 kutoka asilimia 3.2 iliyorekodiwa Machi mwaka huu ikichangiwa zaidi na kupaa kwa bei za baadhi ya bidhaa za vyakula ikiwemo mafuta ya kula.
Wastani wa bei ya jumla ya gunia la kilo 100 kwa mwezi Machi 2021 ilikuwa Sh47,963 ikiwa imeshuka kutoka Sh51,450 iliyorekodiwa Februari mwaka huu.
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema katika mwaka 2021/22, Serikali itawekeza Sh10.6 bilioni kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao zikiwemo mbegu za mafuta ya kula.
Huenda uhakika wa upatikanaji wa huduma maji nchini Tanzania ukachelewa kidogo, kutokana na kupungua kwa bajeti ya Wizara ya Maji kwa Sh52.8 bilioni kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametoa wiki mbili kwa watendaji wa Serikali yake akiwemo Waziri wa Kilimo wa Kenya Peter Munya kumaliza mgogoro wa mahindi ya Tanzania.
Bei ya petroli na dizeli zimeedelea kupanda kwa miezi mitatu mfululizo nchini Tanzania, habari ambayo huenda ikawaumiza vichwa wamiliki wa vyombo vya moto wanaotumia nishati hizo katika shughuli mbalimbali.
Huenda wakulima nchini Tanzania wakapata ahueni kwa mahindi yao kupata soko siku za hivi karibuni baada ya Serikali kutangaza mikakati inayochukua kuwatafutia soko la uhakika ndani na nje ya nchi.
Imefanikiwa kukusanya Sh445.2 bilioni ya maduhuli yaliyotokana na vyanzo mbalimbali katika sekta ya madini ikiwemo ada za leseni, jambo ambalo linatia matumaini kwa Watanzania kuendelea kufaidika na sekta hiyo.
Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria ya mwaka 2021/22 imeongezeka hadi kufikia Sh78.5 bilioni baada ya kushuka mfululizo kwa miaka miwili iliyopita.
Kuandaa nyaraka hizo, unatakiwa kuwa na uhakika na unachoandika.
Bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka 2021/22 imeongezeka kwa asilimia 2.5 hadi kufikia Sh28.7 bilioni
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema wizara yake kupitia Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) wanafanya utafiti na kuzalisha mbegu bora za mananasi ili yakidhi viwango vya viwanda vya ndani na masoko ya kimataifa.
Ni huduma za kiubunifu ambazo zinaweza kuwavutia wateja kuendelea kutumia huduma au bidhaa zako.