Majaliwa awakaribisha wawekezaji kutoka Vietnam kujenga viwanda
Amesema viwanda hivyo vitakuwa vinatumia malighafi za kilimo ili kuwafaidisha wakulima wa Tanzania.
Amesema viwanda hivyo vitakuwa vinatumia malighafi za kilimo ili kuwafaidisha wakulima wa Tanzania.
Ni Michael Joseph, aliyewahi kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo kati ya mwaka 2000 hadi 2010, anayechukua nafasi ya Bob Collymore aliyefariki Julai mosi.
Ni ya kodi mpya, zilizofutwa, zilizopunguzwa na zilizopata msamaha ambazo zinaanza kutumika leo (Julai 1,2019) mwaka mpya wa fedha.
Ni Afisa Mtendaji Mkuu, Robert (Bob) Collymore aliyeanza kupata matibabu tangu Oktoba 2017.
Thamani ya hisa za kampuni hizo zimeshuka kwa viwango tofauti. Wawekezaji wa Kenya Airways wamepoteza Sh5 huku wa Acacia wakipoteza Sh200 kwa kila hisa moja iliyouzwa sokoni.
Amteua kigogo wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kusimamia taasisi ya udhibiti wa sekta ya bima.
Amewataka wajikite kukusanya mapato na kuweka utaratibu mzuri wa wawekezaji kufanya shughuli zao.
Wamesema zipo baadhi ya halmashauri zinazotoza kodi za kero zilizofutwa na Serikali mwaka 2017.
TPA kuanza upembuzi yakinifu mwaka 2019/2020 kwa ajili ya ujenzi wa bandari hiyo katika eneo la ukubwa ekari 100 mkoani Mbeya.
Mauzo hayo yameongezeka kutoka tani 240.8 mwaka 2017 hadi tani 1,095.9 mwaka jana na kuipatia Tanzania Sh9.34 bilioni.
Gawio hilo linatokana na uwekezaji wa asilimia 21 ya hisa katika benki hiyo iliyoorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE).
Kuondolewa kwa vivutio vya kifedha kumeshusha usajili wa miradi mipya ya uwekezaji kwa asilimia 37.7 ndani ya mwaka mmoja.
Utaratibu HUO mpya utawaruhusu wananchi kutoa mizigo yao bila ya kuwa na ulazima wa kutumia wakala wa forodha.
Serikali inapendekeza kutoa unafuu wa kutolipa kodi kwa kipindi cha miezi sita kuanzia wakati mfanyabiashara au mwekezaji anapopewa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN).
Serikali imebuni mfumo wa kudhibiti michezo hiyo ili kujipatia zaidi mapato ya kodi.
Imesema bajeti hiyo itajikita kuboresha kilimo na uanzishwaji wa viwanda vinavyotumia malighafi za ndani na kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara.
Inakusudia kutoza ushuru wa asilimia 10 kwenye mawigi yanazotengenezwa ndani ya nchi na asilimia 25 kwa nywele hizo zinazoagizwa nje ya nchi.
Kitengo hicho kitawawezesha kutoa malalamiko ya mbalimbali ya kodi ikiwemo rushwa na makadirio yasiyoendana na biashara.
Waziri wa fedha amesema ukopeshaji huo umepaa kwa asilimia 10.6 katika mwaka ulioshia Aprili 2019 kutoka asilimia 0.8 kipindi kama hicho mwaka 2018.
Shabaha hizo ni pamoja na kuongeza mapato ya kodi kufikia asilimia 13.1 ya Pato la Taifa na kuhakikisha nakisi ya bajeti inafikia asilimia 2.3.