Serikali yasema fedha za kigeni kununua bidhaa nje ya nchi inaridhisha
Amesema kiasi cha fedha hizo ni Dola za Marekani bilioni 4.39 hadi kufikia Aprili, 2019, kuiwezesha nchi kununua bidhaa na huduma nje ya nchi kwa takriban miezi 4.3.
Amesema kiasi cha fedha hizo ni Dola za Marekani bilioni 4.39 hadi kufikia Aprili, 2019, kuiwezesha nchi kununua bidhaa na huduma nje ya nchi kwa takriban miezi 4.3.
TanTrade imeeleza kuwa wakati wa maonyesho hayo wafanyabiashara wenye mambo yanayowasumbua kuhusu vibali, masoko, mitaji na usajili wa biashara watapatiwa suluhu.
Serikali ipo tayari kuwapokea na kuwapa ushirikiano wawekezaji kutoka katika nchi hiyo ili waje kuwekeza katika sekta mbalimbali zikiwemo za viwanda, kilimo, madini na utalii.
Ongezeko la deni hilo limechagizwa na ujenzi wa miradi mikubwa ya maendeleo ikiwemo miradi ya umeme.
Imesema Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB) wataanza kununua zao hilo.
Amesema wakulima wote waliouza korosho kwa Serikali watalipwa, baada ya Serikali kumaliza uhakiki majina yao yatapelekwa katika benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania (TADB) kwa ajili ya malipo.
Tayari mchakato wa oda iliyotolewa na Malawi umeanza kufanyiwa kazi.
Ubalozi wa Tanzania nchini China umeeleza kuwa unatumia fursa ya Maonyesho ya Kimataifa ya Utamaduni 2019 ya Beijing, China kuongeza wigo wa masoko kimataifa kwa kuwatanisha wafanyabiashara wa Tanzania na makampuni ya China yanayonunua kahawa.
Amesema baada ya kupitisha bei hiyo pamba ianze kuuzwa mara moja katika maeneo yote huku akiwaonya Wakurugenzi wa Halmashauri kuacha kuingilia ununuzi wa zao hilo.
Thamani ya hisa za kampuni hizo ikiwemo benki ya KCB zimeshuka kwa viwango tofauti.
Yaongoza kwa kuuza kiwango kikubwa cha hisa kikiwa ni asilimia 66.5 ya hisa zote zilizouzwa sokoni leo.
Ripoti mpya ya Shirika la Kazi Duniani (ILO) zinapata ongezeko la faida kati ya asilimia tano hadi 20 kutokana kushirikisha wanawake.
Hisa za kampuni hiyo ya bia ya Afrika Mashariki (EABL) katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zimeshuka kwa asilimia 0.85.
Imesema inapitia viwango vipya vya bili za maji vilivyopendekezwa na Ewura kabla ya kuanza kutumika.
Wawekezaji wa kampuni hiyo ya madini leo wamepoteza Sh50 kwa kila hisa kutoka bei ya jana.
Mwenyekiti wa bodi wa TTCL Omar Nundu amesema sehemu ya faida iliyobaki itatumika kwenye miradi midogo ya kimkakati.
Tanzania inategemea zaidi kusafirisha madini na vito vya thamani ili kujipatia mapato lakini hali hiyo inaweza kuwa na madhara kwenye ukuaji wa uchumi
Imesema inaangalia namna ya kuvisaidia viwanda hivyo kupata malighafi za ndani ili kuongeza uzalishaji.
Thamani ya hisa za kampuni hiyo ya madini yaongezeka kwa asilimia 2.25 ikiwa ni ongezeko la Sh100 zaidi kwa hisa moja kutoka viwango vya Mei 13.
Mambo hayo ni pamoja na ujenzi wa vituo vya pamoja mipakani, ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na mafunzo ya urasimishaji biashara ya mipakani.