M-pesa, intaneti vyachangia Vodacom Tanzania kupata faida ya Sh90 bilioni
Ripoti ya awali ya kifedha kwa mwaka ulioishia Machi 2019 iliyotolewa na kampuni hiyo inaeleza kuwa mapato yanayotokana na huduma za sauti za simu bado mtihani.
Ripoti ya awali ya kifedha kwa mwaka ulioishia Machi 2019 iliyotolewa na kampuni hiyo inaeleza kuwa mapato yanayotokana na huduma za sauti za simu bado mtihani.
Serikali imesema haijulikani ni lini zoezi la ugawanyi wa fedha za ufilisi wa benki hiyo litaanza kutokana na kuwepo kwa kesi mahakamani.
Mwenyekiti wake wa Bodi ya Wakurugenzi amesema wanatarajia faida baada ya kodi kuongezeka kwa asilimia 49 huku faida kabla ya kodi inatarajiwa kushuka kwa asilimia 44.
Ripoti mpya ya makadirio ya chakula ya shirika la chakula duniani (FAO) imesema gharama ya uagizaji wa chakula duniani kwa mwaka 2019 zitapungua kutokana na ongezeko la uzalishaji wa bidhaa lakini nchi za Afrika hazitanufaika.
Amesema benki hiyo haina ubaguzi katika utoaji wa mikopo kwa wanawake bali inazingatia masharti na taratibu zilizowekwa ikiwemo kuwa na vikundi vinavyotumika kama dhamana ya mkopo.
Tangu benki hiyo ianzishwe imefanikiwa kukuza amana za wateja kutoka Sh2 bilioni mwaka 2002 hadi Sh75 bilioni Desemba mwaka jana.
Hiyo inatokana na kasi ndogo ya kukopa katika Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania ukilinganisha na mikoa mingine ambapo hadi kufikia Machi 2019 wakulima wa mkoa huo walikopa Sh799.99 milioni ukilinganisha na Sh102 bilioni zilizotolewa na benki hiyo.
Soko hilo litasaidia kupunguza gharama za usafirishaji wa chai inayouzwa katika mnada uliopo katika mji wa Mombasa nchini Kenya.
Imesema haina mpango wa kufunga biashara za saluni za kubandika kucha bandia kwasababu hakuna taarifa za madhara ya matumizi ya kucha hizo.
Kituo hicho kitakuwa kiungo muhimu cha biashara baina ya nchi hizo mbili na kurahisisha shughuli za uhamiaji.
Imezindua duka la kisasa katika wilaya hiyo litakalowaunganisha wananchi na fursa za kiuchumi na kijamii hasa katika sekta ya mawasilino.
Licha ya Tanzania kuwa na viwanda vya kuongeza thamani hadi kupata kahawa ya mezani, unywaji wa kinywaji hicho uko chini ya asilimia 10.
Uzalishaji huo utashuka kwa asilimia 23.6 kutoka tani 65,527.7 za mwaka 2018/2019 hadi tani 50,000 mwaka 2019/2020.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo Peter Geleta amesema uzalishaji wa dhahabu katika robo ya kwanza ya mwaka 2019 umeshuka kwa asilimia 13 ikilinganishwa na mwaka jana.
Madeni hayo tarajiwa yanatoka katika taasisi 11 ikiwemo Wizara ya Maliasili na Utalii ambayo yanasubiri uamuzi wa mahakama kutokana na adhabu na faini mbalimbali.
Taasisi hizo ni pamoja na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Wakala wa Umeme Vijijini (REA) na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) ambazo zilifanya malipo ya Sh7.95 bila kudai stakabadhi za kieletroniki.
Idadi ya taasisi za Serikali Kuu zilizokuwa na kasoro kwenye manunuzi zimeongezeka toka taasisi nane hadi 13 kwa mwaka 2017/2018 ikiwa ni ongezeko la asilimia 62.5 ukilinganisha na mwaka 2016/2017.
Mkanganyiko huo unatokana na muingiliano wa majukumu unaosababisha usumbufu kwa wafanyabiashara na wawekezaji wakati wakitimiza shughuli zao.
Majadiliano yatafanyilka sambamba na mikutano ya kipupwe nchini Marekani na yatajikita kwenye maeneo ya mwenendo wa uchumi wa dunia; miradi ya maendeleo iliyopendekezwa na Benki ya Dunia kwa mwaka 2019/20.
Mifumo hiyo itasaidia katika ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara ikiwemo Tanzania ambao umeendelea kuwa chini kwa miaka minne mfululizo.