Mkaa, kuni vyachangia kupaa mfumuko wa bei
Taarifa ya NBS yaeleza mfumuko wa bei wa Taifa umeongezeka kidogo katika mwaka ulioshia Machi 2019 hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3 ya Februari mwaka huu.
Taarifa ya NBS yaeleza mfumuko wa bei wa Taifa umeongezeka kidogo katika mwaka ulioshia Machi 2019 hadi asilimia 3.1 kutoka asilimia 3 ya Februari mwaka huu.
Serikali imesema itaendelea kutoa elimu kwa wakulima, kujenga viwanda vya kusindika zao hilo ili kuongeza usafirishaji wa bidhaa.
Serikali imesema katika kuhakikisha inawawezesha vijana na wanawake wenye ulemavu kiuchumi, inaendelea kuwajengea uwezo kwa kuwapa elimu, mafunzo, mikopo na kuwaondolewa kodi katika baadhi ya vifaa saidizi.
Amesema zimeshindwa kusimamia zao hilo na kuwaacha wakulima wakilanguliwa kwa bei ndogo.
Ni kupitia shindano la andiko bora la biashara ambapo washindi watapata ruzuku ya mitaji unaofikia hadi kiasi cha Sh20 milioni.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kuandaa utaratibu wa usafirishaji wa mazao hayo saa 24 ili kuchochea ukuaji wa uchumi.
Amesema mafanikio hayo yamepatikana katika kipindi kifupi cha utekekelezaji wa zoezi la ukaguzi na udhibiti wa biashara ya kubadilisha fedha kigeni iliyofanyika katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam.
Mitaji hiyo itawasaidia kuendeleza miradi wanayoanzisha na kuwaepusha na changamoto za ajira wanapohitimu masomo yao.
Bado uzalishaji wa maua na viungo uko chini jambo linalotoa fursa kwa vijana kutumia ardhi iliyopo nchini kuongeza uzalishaji na kufaidika na fursa zilizopo kwenye mazao hayo.
Limepunguza nauli kwa wasafiri wanaotumia ndege zake kutoka Dar es Salaam hadi Dubai.
Rahma Bajun amepokea tuzo ya utambuzi kutoka jukwaa la ‘Arab and African Youth Platform’.
Amemkaribisha na wawekezaji wa nchi hiyo kutembelea nchini ili kuwekeza katika fursa mbalimbali zilizopo nchini.
Amesema uwekezaji wa utafiti katika sekta ya sayansi na teknolojia na kutengeneza taasisi imara za uwajibikaji ndio siri ya ukuaji wa uchumi wa bara hilo.
Zaidi ya robo ya mikopo iliyokopesha ndani ya kipindi cha mwaka moja ilielekezwa kwa watu binafsi ikifuatiwa na shughuli za biashara.
Inatarajia kukusanya na kutumia Sh33.1 trilioni katika mwaka wa fedha ujao wa 2019/20 kutoka Sh32.5 trilioni ya mwaka huu.
Ni kampuni ya NeelKanth Salt Limited ya Mkuranga, Pwani inahitaji rasilimali ghafi ya chumvi ili kukidhi mahitaji yake ya kutengeneza chumvi bora kwa ajili ya watanzania.
Kiwanda hicho kitafungua milango ya fursa kwa wakulima kutumia teknolojia ya kisasa kuongeza uzalishaji na soko la zao hilo.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Februari 2019 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia tatu kama ilivyokuwa Januari.
Uwekezaji huo utasaidia kuendeleza ardhi ya kilimo na kufungua milango ya ajira kwa vijana.
Amesema mfumo mzuri wa maamuzi na sheria utawahakikishia wawekezaji na wafanyabiashara mazingira mazuri ya kuendesha shughuli zao.