CCM yazidi kuongeza umiliki wa vyombo vya habari Tanzania
Mwenyekiti wa chama hicho Rais John Magufuli amesema Africa Media Group inayomiliki vituo vya Channel Ten, Magic FM na Classic FM ni mali ya CCM.
Mwenyekiti wa chama hicho Rais John Magufuli amesema Africa Media Group inayomiliki vituo vya Channel Ten, Magic FM na Classic FM ni mali ya CCM.
Hatua hiyo itafikiwa baada ya Serikali kukamilisha mchakato wa uwekezaji katika zao hilo ikiwemo kujenga viwanda vya kuchakata pamba hapa nchini.
Ndani ya mwaka mmoja watumiaji wa huduma za kifedha kupitia simu wameongezeka kwa takriban milioni 1.5.
Mpaka sasa malipo yamefanyika kwa tani 92,000 ikiwa ni chini ya nusu ya korosho yote iliyopo ghalani inayofikia tani 206,000.
Hiyo ina maana kuwa hisa zinazomilikiwa na Bharti Airtel katika kampuni hiyo zimepungua hadi kufikia asilimia 51 kutoka asilimia 60 ambazo ilikuwa inamiliki hapo awali.
Wanautumia mtandao huo kutangaza biashara zao na kuwafikia wateja popote walipo ili kuongeza mapato.
Kwa miaka mitatu mfululizo tangu mwaka 2016, uzalishaji wa zao hilo umekuwa ukishuka kila mwaka.
Anatumia fursa ya watalii wanaokuja nchini kuwauzia viremba vya kichwani na kutangaza utamaduni wa Tanzania kimataifa.
Hatua hiyo ni utekelezaji wa mpango wa kuwawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao mchana na usiku ili kuongeza mapato ya Serikali.
Uongozi wa TCAA wasema ndege aina ya Embraer 190 iliyokodiwa baada ya Fastjet kufungiwa haitaruhusiwa kuondoka nchini mpaka Fastjet walipe madeni wanayodaiwa.
Waziri wa Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe amesema kuanzia Januari 2019 mabasi yote yanatakiwa kutumia mfumo wa utoaji wa tiketi za kielektroniki kwa abiria ili kurahisisha upatikanaji wa kodi.
Wachambuzi masuala ya usafiri wamesema hatua hiyo ni pigo kwa sekta ya usafiri wa anga kwa sababu nchi inaweza kurudi katika enzi za shirika la ndege la Taifa kuhodhi biashara ya anga.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawataka wajitokeze ili waandikishwe na kuanza kulipa kodi kwa mujibu wa sheria.
Ni fedha za asilimia tano zinazotengwa katika maeneo yao kila mwaka ili kuwawezesha vijana na wanawake kiuchumi.
Amesema walitumia vigezo vikubwa yaani uhakika wa chanzo chenyewe, gharama za utekelezaji, gharama za uzalishaji pamoja na tija na kubaini kuwa mradi huo ndio unaifaa Tanzania kwa sasa.
Wamehukumiwa kwa kununua gari chakavu lenye thamani kubwa kuliko lililopitishwa na Chama Kikuu cha Ushirika wa Tumbaku (WETCU) na kukisababishia chama hicho hasara.
Uwekezaji huo utawezesha kuziunganisha nyumba mpya 145,500 kwa umemejua na kutengeneza ajira zaidi ya 2,100 hasa za vijijini ambako umeme wa gridi ya Taifa haujafika.
Uwekezaji huo unafanyika kwa kuingia ubia na kampuni ya Swala Oil and Gas Tanzania PLC ili kuendesha shughuli za uchimbaji mafuta nchini kuanzia mwaka 2019.
Vitambulisho hivyo viko 670,000 na kila mkuu wa mkoa amepewa vitambulisho 25, 000 ili wakavigawe kwa wafanyabiashara ambao mtaji wao hauzidi Sh4 milioni viwasaidie kuzitambulisha biashara zao.
Rais John Magufuli amesema hali hiyo inatokana na mapungufu yanayojitokeza katika mifumo na taratibu za ukusanyaji kodi ikiwemo wigo mdogo wa kulipa kodi usioendana na idadi ya watanzania.