Kwanini ufuatilie mjadala wa bei ya korosho?
Zao hilo ndiyo liliongoza kwa kuingiza fedha nyingi za kigeni kuliko mazao mengine yote ya biashara mwaka jana.
Zao hilo ndiyo liliongoza kwa kuingiza fedha nyingi za kigeni kuliko mazao mengine yote ya biashara mwaka jana.
Mipango hiyo ni pamoja na kuwekeza katika mifumo ya kidijitali na kutumia mitandao ya kijamii kuwafikia wananchi wengi wa vijijini.
Hatua hiyo ni kujibu kero ya muda mrefu ya wakulima wa mazao ya mbaazi na choroko kukosa soko la uhakika kwa kuongeza thamani ya mazao hayo hapa nchini.
Marejesho hayo yanazihusu kampuni na wafanyabiashara mbalimbali nchini wakiwemo waagizaji wa sukari za viwandani ambao madai yao yamehakikiwa kuanzia Septemba, 2018.
Nchi 39 zikiwemo za Kusini na Mashariki mwa Afrika zina uhitaji mkubwa wa chakula.
Hatua huyo imelenga kuhakikisha wanahabari wanatoa elimu kwa mkulima namna ya kufanya kilimo cha kisasa na chenye tija kitakachoongeza kipato.
Onyo hilo linakuja siku chache baada ya watu wawili kukamatwa wakidaiwa kuchezea na kukanyaga noti za Tanzania
Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wadau wa sekta ya fedha jinsi ya kutambua na kukabiliana na matukio ya utakatishaji fedha yanayotokea katika benki.
Lengo la jukwaa hilo ni kutafuta njia mbadala za kukabiliana na tatizo la lishe katika nchi za Afrika.
Wavuvi wa Magharibi mwa Ziwa Victoria hasa mikoa ya Kagera na Geita watahadharishwa kupungua kwa mavuno ya samaki kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa miezi mitatu ijayo.
Ni chombo muhimu katika kuibua mbinu mpya za kukabiliana na ushindani wa soko na huduma za kifedha.
Mteja ataweza kununua programu (Apps) kwa kutumia salio lake la simu na hatalazimika kwenda benki tena.
Inakadiriwa kuwa nyumba 200,000 huhitajika kila mwaka kukidhi ongezeko la idadi ya watu.
Wazindua huduma itakayoweza wanunuzi wa bidhaa na huduma mtandaoni kufanya malipo kupitia M-Pesa mahali popote ulimwenguni.
Mkakati uliopo ni kumpunguzia majukumu ya kiutendaji na kuwaachia watu wengine kuongoza kampuni hiyo.
Yaalikwa kama mshirika maalum kutoka Afrika katika maonyesho hayo yanayofanyika kwa mara ya 15 nchini China.
Bei ya zao hilo itaendelea kushuka kutokana na kuongezeka kwa mavuno na serikali kupiga marufuku kusafirisha mazao nje ya nchini.
Uteuzi huo unakuja wakati kitendawili cha upatikanaji wa kibali cha kufanya kazi nchini cha Sylivia Mulinge aliyetakiwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji kuanzia Juni mosi kikiwa hakijatatuliwa.
Wajasiriamali hao wanaweza kukodi ofisi kwa muda wanaotaka kutumia na kupata mafunzo mbalimbali ya ujasiriamali.
Asisitiza makontena yaliyozuiliwa bandarini lazima yalipiwe kodi kwa mujibu wa sheria.