Mikakati ya Serikali ya Tanzania kukuza kilimo cha chai
Imesema itawekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ili zao la chai lilimwe kwenye maeneo mbalimbali Tanzania.
Imesema itawekeza kwenye miundombinu ya umwagiliaji na uzalishaji wa miche bora ili zao la chai lilimwe kwenye maeneo mbalimbali Tanzania.
Serikali imesema inakamilisha utafiti wa kubaini visababishi vya kiwango cha chini cha ulipaji kodi kwa wakati na hiari hasa kwa wafanyabiashara wadogo Tanzania.
Aagiza minada ifanyike katika kanda zinazolisha zao hilo na siyo nje ya nchi ili kuwanufaisha wakulima.
Ni pamoja na elimu ya Tehama ili kuwasaidia katika kupata masoko ya mtandaoni.
Umeshuka hadi kufikia asilimia 3.3 kwa mwaka ulioishia Februari 2021 kutoka asilimia 3.5 mwaka ulioishi Januari 2021.
Maboresho makubwa yaliyofanywa katika Bandari ya Kigoma yameanza kuleta matokeo chanya ikiwemo kuongezeka kwa shehena ya mizigo pamoja na mapato.
Ni kutolewa kwa pato la msingi la muda mfupi (TBI) kwa mamilioni ya wanawake masikini katika nchi zinazoendelea duniani ikiwemo Tanzania ili kuzuia kuongezeka kwa umasikini na pengo la usawa wa kijinsia wakati huu wa janga la corona.
Baadhi yao wamesema zitawapatia ahueni ya kuongezeka kwa gharama za vifurushi ambavyo vinaisha kabla ya muda uliowekwa.
Benki Kuu ya Tanzania imehamisha mali na madeni ya benki ya biashara ya China (China Commercial Bank) kwenda kwa benki ya NMB Plc baada ya kukaa chini ya uangalizi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwa siku 90 kutokana na kutokidhi matakwa ya ukwasi.
Benki ya Dunia (WB) imesema inatarajia kuwa uchumi wa Tanzania utakua kwa kasi ya kati ya wastani wa asilimia 3 hadi asilimia 5.3 mwaka 2021 ukichangiwa zaidi na kuanza kuimarika kwa shughuli za kiuchumi duniani
Ni bei hizo mpya kikomo za ni mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa za mwezi Machi 2021 ambazo zimepanda kwa viwango tofauti.
Fursa hizo ni pamoja na uzalishaji wa mafuta, uongezaji thamani wa mazao yanayozalishwa nchini na ujenzi wa viwanda.
Ni sehemu ya Sh19 bilioni za mkopo iliyokopa benki ya CRDB ili kulipafidia kwa wananchi waliochukuliwa maeneo yao.
Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif umepumzishwa kijijini Mtambwe kwake Pemba.
Ni pamoja na kuuziwa bidhaa feki kwa bei kubwa na kupata kitu tofauti na picha uliyoiona.
Ni Dk Ngozi Okonjo-Iweala ambaye ni mtaalam wa uchumi kutoka Nigeria. Ni mwanamke na Mwafrika wa kwanza kushikilia nafasi hiyo katika chombo hicho tangu kuanzishwa kwake mwaka 1995.
Serikali imevitaka viwanda vya ndani vya sukari kuongeza uwekezaji kupunguza uagizaji wa bidhaa hiyo nje ya nchi ili kutosheleza mahitaji.
Ni baada ya kuchaguliwa kuingia katika programu maalum ya mafunzo ya Anzisha Prize.
Ni baadhi ya watendaji waliowatoza fedha za ziada wafanyabiashara waliopata vizimba katika soko kuu la Morogoro lililopo mkoani Morogoro.
Baadhi ya makampuni ya tumbaku nchini hununua zao hilo kwa bei ya chini wakidai ni ya kiwango cha chini (makinikia) kisha huyapeleka nje na kuuza kwa bei nzuri.