Zingatia haya unapochagua jina, nembo ya kampuni
Jina la kampuni pamoja na nembo ni utambulisho wa kwanza kwa kila mteja anayekuja kununua bidhaa au kupata huduma.
Jina la kampuni pamoja na nembo ni utambulisho wa kwanza kwa kila mteja anayekuja kununua bidhaa au kupata huduma.
Inatarajia kuongeza makusanyo na matumizi hadi Sh36.26 trilioni kwa mwaka wa fedha wa 2021/22 ikiwa ni ongezeko la asilimia nne kutoka Sh34.88 trilioni katika mwaka wa feda unaoishia Juni 2021.
Mfumuko wa bei umeongezeka hadi asilimia 3.5 mwaka ulioshia Januari 2021 kutoka 3.2 Desemba, 2020.
Bei ya jumla ya gunia la kilo 100 la mahindi kwa mwaka ulioishia Desemba 2020 ilishuka hadi Sh56,892 kutoka Sh87,59 iliyorekodiwa Desemba 2019.
Amesema itasaidia kupunguza athari za kiuchumi kwa Taifa ikiwemo kupungua kwa uwezo wa benki kutoa mikopo kwa Watanzania.
Aitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuachana na utaratibu wa sasa wa kuuza magogo nje ya nchi na badala yake vianzishwe viwanda vya ndani vya bidhaa hiyo.
Kamati ya Sera ya Fedha ya Bodi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yasema Hiyo ni kutokana na mwenendo wa kuridhisha wa hivi karibuni wa sekta muhimu za uchumi.
Umeongezeka kidogo katika mwaka ulioshia Desemba 2020 hadi asilimia 3.2 kutoka asilimia 3 iliyorekodiwa Novemba mwaka jana.
Kupanda kwa bei hizo kunatoa tafsiri mbalimbali ikiwemo kuwafaidisha wakulima na kuwafanya wanunuzi kutoboa mifuko yao zaidi ili kuzipata bidhaa hizo.
Bei za rejareja za petroli iliyoingizwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa asilimia 1.67 wakati bei za rejareja za dizeli zimeongezeka kwa Sh9 kwa lita na mafuta ya taa kwa Sh29 kwa lita.
Uchambuzi huu umefanyika kwa kuzingatia wingi wa zana za kujifunzia, muundo na urahisi wa kuwafikia watu walio na uhitaji na hizo.
Ni Bandari ya Kagunga iliyopo Wilaya ya Kigoma ambayo ni kiungo cha biashara na usafirishaji mizigo.
Umeshuka hadi asilimia 3 kwa mwaka ulioishia Novemba 2020 kutoka asilimia 3.1 iliyorekodiwa Oktoba mwaka huu.
Ni pamoja na kumpatia mfanyabiashara takwimu halisi za kiwango cha kusambaa na usomekaji wa tangazo.
Awaonya kutojihusisha na rushwa maana Serikali itawachukulia hatua kali.
Baada ya bei za mafuta kwa mwezi Desemba kushuka kwa viwango tofauti ikilinganishwa na ilivyokuwa mwezi uliopita zikichangiwa na kuporomoka kwa bei ya nishati katika soko la dunia.
Sababu mojawapo ni athari za janga la Corona baada ya baadhi ya nchi kusitisha usafiri wa ndege.
Amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria.
Itatumia ardhi ya JKT kuzalisha mbegu hizo ili kutosheleza mahitaji ya wakulima.
Aagiza uchunguzi ufanyike juu ya suala hilo kwa sababu kuna viashiria vya utendekaji wa makosa ya jinai yanayohujumu Serikali.