BoT yaiweka China Commercial Bank chini ya uangalizi
Katika kipindi hicho cha usimamizi kilichoanzia leo (Novemba 19, 2020), amesema benki hiyo itafungwa na haitatoa huduma yeyote kwa wateja mpaka pale BoT itakapotoa maelekezo.
Katika kipindi hicho cha usimamizi kilichoanzia leo (Novemba 19, 2020), amesema benki hiyo itafungwa na haitatoa huduma yeyote kwa wateja mpaka pale BoT itakapotoa maelekezo.
Kuanzia Julai 2021 wakulima wataanza kuuza tani milioni 1 za mahindi kwa kampuni ya Smart Group ya Misri.
Serikali imesema ina imarisha sera za jumla za uchumi na fedha ili kufikia azma hiyo kwa kutengeneza mazingira mazuri ya ufanyaji wa biashara.
Ripoti ya mfumuko wa bei kwa mwaka ulioishia Oktoba 2020 inaeleza kuwa kasi ya kupanda kwa bei za bidhaa na huduma ilibaki asilimia 3.1 kama ilivyokuwa Septemba 2020.
Umeshuka hadi asilimia 3.1 kwa mwaka ulioishia Septemba 2020 kutoka asilimia 3.3 iliyorekodiwa mwaka ulioishi Agosti mwaka huu.
Utazinduliwa katika Wilaya za Masasi na Tandahimba mkoani Mwanza.
Tanzania kufungua ofisi ya bandari Malawi kurahisisha shughuli za usafirishaji wa mizigo kupitia bandari za Dar es Salaam na Mtwara.
Unakuwezesha kufahamu gharama ya kifungashio na uwezo wa kuhimili mikiki mikiki ya usafirishaji.
Ni baada ya uzalishaji wake kuongezeka na kukidhi mahitaji ya soko la ndani.
Noti hiyo ina alama 11 za usalama ikiwemo ya mnyama Twiga na sura ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere.
Takribani dola za Marekani bilioni 89 (Sh206.5 trilioni) hutoroshwa kutoka katika nchi za Afrika zaidi kupitia sekta ya madini.
BoT yasema kiwango cha ukopeshaji kinatarajiwa kuongeza hadi asilimia 11.6 ifikapo Juni 2021.
Bei ya jumla ya zao hilo katika jiji la Dar es Salaam ni zaidi ya mara tatu ya inayotumika Mpanda ambayo ni Sh70,000.
Usafi wa mgahawa ni pamoja na kuhakikisha chakula kinachopikwa kinalinda afya za wateja wako.
Thamani ya hisa za kampuni hiyo zimeshuka kwa asilimia 4.71 kutoka kiwango cha Ijumaa Septemba 18, 2020.
Imesitisha ununuzi kwa muda kwa sababu maghala ya Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA) yamejaa.
Zinakusudia kujenga mtambo wa pamoja cha uchenjuaji wa madini ya nickel na kutumia vituo vya madini vya mkoa wa Kigoma kuuza madini.
Utafiti wa kimasoko ni kitendo kinachodhamiria kufahamu mambo mbalimbali kuhusu soko la bidhaa au huduma na mahitaji ya watumiaji wa bidhaa husika.
Bei ya jumla ya gunia la kilo 100 la mahindi kwa mwezi Julai 2020 ilikuwa Sh58,362 ikipanda kutoka Sh56,914 iliyorekodiwa Juni mwaka huu.
Ni pamoja na wadau wa sherehe na mtu mmoja mmoja ambao huyapata maua hayo kwa gharama inayoanzia Sh1000.