CAG awaweka matatani watumishi watatu Nkasi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Nkasi yatakiwa kuwakamata watumishi watatu wa halmashauri hiyo kwa kula Sh27.6 milioni za makusanyo na kujikopesha bila ya kuziwasilisha benki.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Nkasi yatakiwa kuwakamata watumishi watatu wa halmashauri hiyo kwa kula Sh27.6 milioni za makusanyo na kujikopesha bila ya kuziwasilisha benki.
Bei hizo mpya za petroli jijini Dar es Salaam ni za chini zaidi kuwahi kurekodiwa ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Shirika hilo limepokea zaidi ya Sh600 bilioni ili kulisaidia kurejea kwenye biashara baada ya kufunga biashara Aprili, 2020.
Amesema itahakikisha mali zote za wakulima wa zao la mkonge nchini Tanzania zinarudishwa mikononi mwao na hakuna mtu yeyote atakayeonewa huku
Seikali imechukua uamuzi huo kwa lengo la kuboresha utendaji wa benki inazozimiliki ili kuwa na benki moja ya biashara ambayo ni imara
Itawasaidia kuboresha maisha kwa kupata kipato cha kuuza katika viwanda vya ndani vya mafuta ya kula ambavyo vina uhitaji mkubwa.
Bei ya juu ya gunia la kilo 100 la viazi mviringo linauzwa Sh80,000 katika mkoa huo, bei ambayo inafanana na ile iliyotumika ijumaa ya wiki iliyopita.
Serikali imesema mwenye nyumba anatakiwa kukurejeshea kiasi cha fedha ulizolipa na si vinginevyo.
Kampuni hiyo imewasilisha Sh231.43 bilioni kati ya Sh694.29 bilioni inayotakiwa kulipa ili kumaliza mgogoro wake na Serikali.
Kampuni ya madini ya Barrick Gold imesema kuwa imeshaanza kulipa sehemu ya makubaliano ya zaidi ya Sh680 bilioni iliyokubaliana na Serikali.
Serikali imesema imeweka mikakati madhubuti ikiwemo uanzishwaji wa sheria mpya ya uwekezaji kumaliza changamoto zinazowakabili wawekezaji wa zao la zabibu nchni Tanzania ikiwemo utitiri wa kodi.
Bei ya jumla ya mahindi katika Mkoa wa Dodoma imeshuka kwa takriban asilimia 23.7 ndani ya kipindi cha wiki moja, jambo linawapa ahueni wanunuzi wa zao hilo katika mkoa huo uliopo katikati mwa Tanzania.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema thamani ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi katika mwaka ulioishia Machi 2020 imeongezeka kwa asilimia 12.1 yakichagizwa zaidi na bidhaa za mazao ikiwemo korosho na mkonge.
Thamani ya mifugo inayouzwa katika minada mbalimbali nchini Tanzania imeshuka kwa Sh240 bilioni katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita ikichangiwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
Kasi ya ukuaji wa uchumi Tanzania inatarajiwa kukua kwa asilimia nne (4) mwaka 2020 kutokana na athari za ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwenye sekta mbalimbali nchini, ikiwa ni matarajio ya chini ndani ya miaka ya hivi karibuni.
Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango amesema katika mwaka wa fedha wa 2020/2021 inakadiria kutumia bajeti ya Sh12.39 trilioni huku zaidi ya robo tatu ya fedha hizo zitatumika kulipa deni la Taifa.
Sehemu ya ujumbe inasomeka kuwa “Tala imerudi tena kwa mara nyingine baada ya kutotoa huduma kwa muda mrefu” ukiambatana na kiunganishi cha tovuti ambayo mtu akiingia anaweza kupata masharti ya kupata mkopo.
Serikali ya Tanzania inakusudia kujenga bandari moja ya uvuvi itakayosaidia kuongeza kasi ya uvuvi wa kisasa na biashara ya samaki ili kujipatia mapato na kuboresha maisha ya wananchi wanaotegemea sekta hiyo.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema Serikali imekusanya Sh5.5 bilioni hadi kufikia Aprili 30 mwaka huu kupitia operesheni Nzagamba ikiwa ni makusanyo ya tozo za kusafirisha mifugo nje ya nchi.
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema mikopo kwa sekta binafsi imepungua kidogo ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita, licha ya sehemu kubwa ya mikopo hiyo kuelekezwa katika shughuli za watu binafsi na biashara.