Maoni mchanganyiko matumizi fedha za Tasaf Mwanza
Baadhi ya fedha hizo zimekua hazitumiki kwa malengo yaliyokusudiwa kutokana na wanufaika kushindwa kuzitumia katika shughuli za uzalishaji mali.
Baadhi ya fedha hizo zimekua hazitumiki kwa malengo yaliyokusudiwa kutokana na wanufaika kushindwa kuzitumia katika shughuli za uzalishaji mali.
Amesema katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi wa miaka mitano, Wizara ya Maji ilimtesa sana kwa sababu miradi mingi ya maji ilikua haikamiliki kwa wakati
Ni wale wanaokiuka maadili ya kazi zao kwa kutokuwepo katika vituo vyao vya kazi na kushindwa kusimamia majukumu yao.
Vitakakuwa na picha ya muhusika na baadhi ya kumbukumbu binafsi zitakazomtambulisha na kumuwezesha kupata huduma katika maeneo mbalimbali zikiwemo taasisi za kifedha.
Masomo hayo yataanza kufundishwa Chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT) ili kuwawezesha Watanzania kuelewa kwa undani historia ya nchi yao.
Asema hatarajii kutangaza Watanzania kujifungia ndani ili kujilinda na Corona huku akiwataka waendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.
Ni kampuni za Edibm Land Engineering Constraction, Spatial Planning Vision na Geoid Geomatics Constraction Enterprises.
Zakubaliana kuimarisha uhusiano katika sekta mbalimbali ikiwemo biashara na usafiri wa anga.
Kitaanza kufundishwa katika Chuo Kikuu Cha Addis Ababa nchini humo.
Kwa sasa, Tanzania kuna ongezeko la wagonjwa wapya wa saratani wapatao 50,000.
Linawakutanisha pamoja wadau wa maendeleo, sanaa, utamaduni, habari na teknolojia.
Imeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika matokeo hayo huku watahiniwa wake 79 kati ya 90 wakipata daraja la kwanza la pointi saba.
Wanafunzi 51 kati ya 118 wamefanikiwa kupata daraja la kwanza la alama saba ikiwa ni ufaulu juu kabisa.
Orodha ya wasichana 10 bora kitaifa imeongozwa na shule ya Canossa iliyopo jijini Dar es Salaam ambayo imefanikiwa kuingiza wasichana wanne walioshikilia nafasi nne za kwanza
Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo iliyopo mkoa wa Pwani imeshika nafasi ya kwanza kitaifa matokeo ya kidato cha nne 2020.
Shule ya Wasichana ya St Francis ya mkoani Mbeya yaongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kitaifa.
Ni Paul Luziga kutoka shule ya Sekondari ya Pandahill iliyopo mkoani Mbeya.
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2020 huku ufaulu ukiongezeka kidogo kwa asilimia 5.19 kutoka ule wa mwaka 2019.
Kutokana na janga la COVID-19, takriban watu milioni 260 walikuwa wanafanyia kazi nyumbani duniani kote wakiwakilisha asilimia 7.9 ya ajira zote duniani.
Watakiwa kutumia vizuri ujuzi walioupata kuleta ufumbuzi wa changamoto zinazoikabili jamii na kutafuta ajira katika sekta isiyo rasmi ili kujiletea maendeleo.