Magufuli aiomba China kuisamehe Tanzania madeni
Miongoni mwa madeni ni lile la ujenzi wa reli ya Tazara miaka 50 iliyopita
Miongoni mwa madeni ni lile la ujenzi wa reli ya Tazara miaka 50 iliyopita
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza isimamiwe vizuri ili kuhakikisha inakuwa na viwango vinavyoendana na thamani ya fedha.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Imekifungia chombo hicho baada ya kukiuka kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za mwaka 2018.
Mabehewa sita kati ya 12 ya treni yenye watu 720 ikitokea Dar es Salaam kwenda mikoa ya Tabora, Katavi, Kigoma na Mwanza yalipata ajali Bahi mkoani Dodoma.
Zinawasaidia wanafunzi kupata elimu wakati huu ambao shule zimefungwa kutokana na janga la Corona.
Waeleza Corona ilivyoathiri biashara na mahusiano kwenye familia.
Baadhi ya watu wametoa maoni mseto kuhusu njia sahihi ya kusheherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ikiwemo kutoka ‘out’.
Ni Naibu Waziri mpya wa Madini Prof Shukrani Manya aliyeteuliwa leo, amtaka kutumia taaluma yake kuikuza sekta ya madini.
Ni Sergio Chekaloff ambaye anaishi Hispania baada ya kupewa hadhi ya kutokuwa na utaifa.
Aagiza fedha za sherehe zilizotakiwa kufanyika Desemba 9, 2020 zitumike kununua vifaa vya hospitali ya Uhuru mkoani Dodoma.
Idadi hiyo inakamilisha orodha ya wanafunzi 53,364wa mwaka wa kwanza ambao wamepangiwa mikopo hadi sasa.
Waiomba kuharakisha mchakato wa kuundwa kwake ili kulinda maslahi yao.
Serikali zatakiwa kuchukua hatua za haraka kuwanusuru watoto hao.
Elimu na majadiliano yatasaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia kwenye jamii.
Mafunzo hayo yatawasaidia wanahabari hao kuwa mabalozi dhidi ya habari za uzushi.
Ni waliohusika na vitendo vya udanganyifu wakati wa mtihani.
Jiji hilo limeibuka kinara katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020 baada ya kufanikiwa kupata ufaulu wa asilimia 93.5
Kati ya shule 10 bora mwaka huu, nane zinatokea Kanda ya Ziwa.
Umeongezeka kutoka asilimia 81.5 mwaka 2019 hadi asilimia 82.68 mwaka huu.
Msichana kutoka Graiyaki awatakisa wavulana baada ya kuongoza kitaifa.