NECTA yatangaza matokeo darasa la saba 2020
Matokeo hayo yametangazwa leo Novemba 21, 2020 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.
Matokeo hayo yametangazwa leo Novemba 21, 2020 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.
Ni Rodgers George ambaye ameibuka mshindi wa tatu katika tuzo za mwandishi bora wa kitakwimu zinatolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Idadi hiyo inakamilisha orodha ya wanafunzi 52,473 wa mwaka wa kwanza ambao wamepangiwa mikopo hadi sasa.
Wapo watu wanaopata ugonjwa huo pasipo kuonyesha dalili zozote.
Ni uteuzi wa kwanza kabisa katika baraza la mawaziri jipya katika kipindi cha muhula wa pili wa uongozi wake.
Ni mafunzo yanayofanyika kwa njia ya mtandao yamezinduliwa leo na yatafanyika hadi Novemba 13, 2020.
Wawataka Watanzania kudumisha amani na utulivu wakati wakitimiza haki yao ya kikatiba ya kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo
Rais John Magufuli amesema fedha hizo zitatumika kuboresha huduma za jamii.
Ni kivuko cha Mv Ukara II ambacho kitakuwa kinasafirisha abiria na mizigo katika ya visiwa vya Ukara na Ukerewe.
Wanatuhumiwa kuwatapeli wananchi kwa noti za kigeni zisizo halali.
Litakuwa na urefu wa kilomita 3 ili kuwapunguzia wananchi adha ya usafiri wa vivuko. Litachochea usafirishaji wa mizigo mikoa ya Kanda ya Ziwa na Afrika Mashariki.
Ahoji matumizi ya fedha za mradi huo ikiwemo kuongezeka kwa bajeti kutoka Sh51 bilioni hadi Sh71 bilioni.
Zitasaidia kuboresha huduma za afya na elimu katika kaya masikini.
Necta yasema itachukua hatua za kisheria kwa watakaohusika na wizi na udanganyifu wa mitihani wa darasa saba unaoanza Oktoba 7, 2020.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema tatizo hilo la kiafya limesamba kila mahali duniani ambapo takriiban watu milioni 2.8 hufariki dunia kila mwaka kutokana na unene uliopitiliza.
Serikali yasema zoezi la uundwaji wa meli hiyo linatakiwa kukamilika kwa wakati kama mkataba ulivyosainiwa.
Tuzo za mwajiri bora (EYA) ambazo hutolewa kila mwaka tangu mwaka 2005 zimekuwa chachu kwa waajiri Tanzania kuwawekea mazingira bora ya kazi wafanyakazi wake ili kuwawezesha kupata haki zao.
Amesema alitoa mchango mkubwa katika tasnia ya sheria na katika nafasi mbalimbali alizotumikia ndani na nje ya Tanzania.
HESLB imesema kufikia leo, imepokea na kusajili jumla ya maombi ya wanafunzi 92,947 wanaohitaji mkopo.
Mvua hizo zitakazonyesha kati ya Oktoba na Desemba zitakuwa chache na zinaweza kusababisha ukame na upungufu wa maji.