HESLB yaongeza siku 10 kwa waombaji mikopo Tanzania
Uamuzi huo unafuatia maoni, ushauri na maombi kutoka kwa wanafunzi, wazazi na walezi ambayo HESLB imeyapokea.
Uamuzi huo unafuatia maoni, ushauri na maombi kutoka kwa wanafunzi, wazazi na walezi ambayo HESLB imeyapokea.
Idadi ya wanawake wanaochaguliwa katika nafasi za udiwani, uwakilishi na ubunge bado iko chini. Mila potofu, mfumo dume na umaskini wa kipato wachangia kuwadidimiza.
Wadau wa usalama barabarani wapendekeza maboresho ya sheria yatakayosaidia kupunguza zaidi vifo na majeruhi.
Ufaulu wa wasichana umekuwa bora kuliko wa wavulana kwa takriban asilimia moja
Shule ya Sekondari ya Kisimiri imeendelea kuongoza orodha hiyo ya dhahabu Tanzania huku Arusha ikiingiza shule tatu kwenye 10 bora.
Ufaulu waongezeka kidogo kwa asilimia 0.03
Jumla ya wagonjwa wa saratani 48,000 wamepokelewa ndani ya miaka 10 katika hospitali ya rufaa ya Bugando.
Wakala wa Umeme Vijijini (REA) umesema utavunja mikataba kama kazi walizopewa hazitakamilika kwa wakati.
Viongozi wataka Watanzania waendeleze mazuri yote aliyoyafanya wakati wa uhai wake.
Atakumbukwa kwa kujenga misingi ya uchumi iliyosaidia kuboresha maisha ya Watanzania.
Amewasili majira ya saa 8 mchana saa za Afrika Mashariki akitokea Ubelgiji kupitia Addis Ababa, Ethiopia alikokuwa akipatiwa matibabu.
Amkumbuka alivyomsaidia kujinasua katika kesi ya matumizi mabaya ya fedha za umma katika Ubalozi wa Tanzania nchini Italia.
Atazikwa kijijini kwao Lupaso, Masasi mkoani Mtwara baada ya kuaga mwili kwa muda wa siku tatu katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Amefariki dunia leo Jijini Dar es Salaam katika hospitali moja akiwa na umri wa miaka 81.
Wanatakiwa kujiunga na mafunzo ya JKT yatakayoanza Agosti 1 mwaka huu.
Kozi zitakazopewa kipaumbele zaidi ni pamoja na ualimu wa sayansi, programu za uhandisi na sayansi ya afya.
Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu iliyotolewa leo imeeleza kuwa licha ya uteuzi huo, Dk Kijazi ataendelea kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Tanapa.
Ni mkoa wa Songwe ambao takriban shule saba kati ya 10 za mkoa huo hazina huduma ya maji.
Magufuli ameagiza kung’olewa kwa viongozi hao baada ya shehena za bangi kukamatwa na vyombo vya usalama vya nje ya wilaya hiyo.
Watahiniwa hao wameanza mitihani ya kitaifa leo na watamaliza Julai 16, 2020.