Uhaba wa maji unavyowatesa wananchi Mwanza
Ni wakazi wa kijiji cha Identemya Wilaya ya Usagara mkoani humo wanaoutumia maji ya madimbwi na kutembea kilomita 10 kufuata maji safi.
Ni wakazi wa kijiji cha Identemya Wilaya ya Usagara mkoani humo wanaoutumia maji ya madimbwi na kutembea kilomita 10 kufuata maji safi.
Shule binafsi zaonywa kutoongeza viwango vya ada.
Mhariri wa gazeti hilo asema wanajadili hatua za kuchukua baada ya kufutiwa leseni.
Maafisa wanne wamesimamishwa kazi huku Watendaji 30 wakikabidhiwa mikononi mwaka polisi na TAKUKURU.
Shule hiyo itajengwa katika Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi maalum kwa wasichana.
Ikiwa sumukuvu hiyo itadhibitiwa itasaidia uzalishaji wa mazao ya chakula yenye viwango vya ubora vinavyotakiwa kitaifa na kimataifa.
Rais amewaagiza viongozi waliopishwa leo kuchapa kazi na kuridhika na nafasi walizopewa.
Mwanafunzi bora kidato cha nne 2019 apelekwa Kilakala mkoani Morogoro.
Itafanyika kwa nyakati tofauti baada ya shule zote kufunguliwa Juni 29 mwaka huu.
Ni baada ya kupungua kwa ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania.
Imependekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye bima za kilimo cha mazao
Fedha hizo ni kati ya Sh33.88 trilioni ambazo Serikali inatarajia kukusanya katika bajeti hiyo kutoka katika vyanzo mbalimbali vya ndani na nje.
Lengo la mabadiliko haya ni kutoa unafuu wa kodi ya mapato kwa wafanyakazi.
Amesema lengo la mabadiliko hayo ni kupanua wigo wa kodi kwa kuwa bidhaa hizo zinaagizwa kwa wingi kutoka nje ya nchi.
Miradi na shughuli za kipaumbele kwa mwaka 2020/21 ni mwendelezo wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2016/17 – 2020/21.
Pato hili limeongezeka kwa asilimia 5.1 kwa mwaka 2019 ikilinganishwa na lilivyokuwa mwaka 2018.
amefariki dunia baada ya kukumbwa na shambulio la moyo ikiwa imesalia miezi miwili kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais mteule Evariste Ndayishimiye.
Ni kiongozi wa pili wa juu wa Chadema kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wakiwasili kwenye makazi yao.
Wavuvi wa Tanzania wanaotumia bahari ya Hindi wametakiwa kujipanga kuongeza kasi ya uzalishaji wa samaki kutokana na hali ya joto la bahari linalotarajiwa katika msimu wa kipupwe.
Hatua hiyo itaokoa Sh67 bilioni ambazo zimekuwa zikitumika kubadilisha na kununua nguzo za miti kila mwaka.