Tanzania mbioni kufungua shule za msingi, awali
Walimu wahakikishiwa kuendelea kulipwa mishahara yao hata kama corona itakaa miaka 10.
Walimu wahakikishiwa kuendelea kulipwa mishahara yao hata kama corona itakaa miaka 10.
Mfuko huo wa Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo (FAO) umetengewa dola za Marekani 174 milioni (Sh402.6 bilioni) kwa ajili ya miradi 24 ya kilimo na mazingira katika nchi 30 duniani.
Yavitaka vyuo ambavyo haviwapa wanafunzi wao fedha za kujikimu kufanya hivyo kabla ya Ijumaa Juni 5.
Imemuita ili kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ambayo ubalozi huo umekuwa ukiyaandika kwenye mitandao yake bila uthibitisho ukiwemo ushauri wa kiusafiri kwa raia wake kuhusu ugonjwa wa Corona.
Kamati hiyo imebaini kuwa moja ya mashine za kupimia virusi hivyo ilikuwa na hitilafu kwa takriban miezi miwili.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako amewaambia wanahabari kuwa mitihani ya kidato cha sita itaanza rasmi tarehe 29 Juni 2020 na itafanyika hadi 16 Julai 2020
Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Tanzania (HESLB) imesema wanafunzi wa vyuo vikuu wataingiziwa mikopo yao ikiwemo fedha za malazi na chakula kabla ya vyuo kufunguliwa tena Juni mosi mwaka huu.
Rais John Magufuli ameagiza vyuo vyote nchini Tanzania kufunguliwa Juni 1, 2020 sambamba na kuruhusu michezo mbalimbali ianze tena siku hiyo.
Rais John Magufuli amesema wamekubaliana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuwa mawaziri wa uchukuzi na wakuu wa mikoa wa mipakani wa nchi hizo wakutane ili kumaliza tatizo la kuzuiwa kwa madereva wa malori kupita katika mipaka ya nchi hizo
WFP imesema watu wasio na uhakika wa chakula katika ukanda huo wataongezeka kati ya milioni 34 na milioni 43 kuanzia mwezi huu wa Mei hadi Julai kutokana na athari za kiuchumi na kijamii za COVID-19 zimechangia tatizo hilo.
Watumishi waliosimamishwa kazi ni Mkurugenzi wa Huduma Saidizi, Hans Lyimo, Kaimu Mhasibu Mkuu, Jonas Bakuza na Lecian Mgeta aliyekuwa Mhasibu wa Wakala huo ambaye aliandika barua ya kuacha kazi Aprili 6, 2020.
Wanahabari wawili kutoka Kenya wanashikiriwa na mamlaka mkoani Arusha wakituhumiwa kuingia nchini na kufanya shughuli za uandishi bila kibali na muda wowote wiki hii watafikishwa mahakamani.
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa viwanda nchini Tanzania kuhakikisha wanakata bima ili pale wanapokumbwa na ajali za moto wapate wepesi wa kulipwa fidia za mali zao.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) na amemwagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dk Tito Mwinuka asimamie mradi huo ili ukamilike kwa wakati.
Amesema hali ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) jijini humo inaendelea “kuwa nzuri” ikiwa ni moja ya matokeo ya watu kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya ya kujikinga na janga hilo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kilimo na Chakula (FAO) limesema limefanikiwa kuokoa tani 720,000 za nafaka zinazotosheleza kulisha watu milioni 5 kwa mwaka mzima katika nchi 10 za ukanda wa Afrika Mashariki
Bunge la Tanzania limeidhinisha bajeti ya Sh133.5 bilioni kwa ajili ya kugharamia shughuli za wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi mwaka 2020/2021 huku asilimia 61.8 ya fedha hizo zikipangwa kutumika katika miradi ya maendeleo.
Huenda baadhi ya miradi ya maendeo iliyopangwa kutekelezwa na Wizara ya Nishati katika mwaka wa fedha wa 2019/2020 isikamilike kwa wakati baada ya Serikali kuchelewa kutoa fedha zilizoidhinishwa mwaka huo.
Ndege hiyo inatarajia kutua jijini humo wiki ijayo Mei 11, 2020 na kuanza safari ya kurudi Tanzania siku inayofuata ikiwa na Watanzania hao.
Vyandarua 719,254 vinatarajiwa kugawiwa kwa wananchi wa Mkoa wa Rukwa ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa malaria nchini Tanzania.