Magufuli aeleza sababu za kutoifunga Dar licha ya wagonjwa kuongezeka
Rais John Magufuli amesema licha ya jiji la Dar es Salaam kuwa na kiwango cha juu cha wagonjwa wa virusi vya Corona halitafungwa kwa sababu ni kitovu cha uchumi wa Tanzania
Rais John Magufuli amesema licha ya jiji la Dar es Salaam kuwa na kiwango cha juu cha wagonjwa wa virusi vya Corona halitafungwa kwa sababu ni kitovu cha uchumi wa Tanzania
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi jana 21 Aprili 2020 Tanzania kulikuwa na watu 284 waliothibitika kuwa na virusi vya corona
Uteuzi huo umemaweka watumishi watatu kwenye nafasi mpya seerikalini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atakuwa mgeni rasmi katika maombi ya kitaifa ya kuombea nchi dhidi ya janga la Corona (#COVID?19) yatakayofanyika kesho katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Ugonjwa huo umeingia katika nchi zote za jumuiya hiyo huku Kenya ikiongoza kwa wagonjwa wengi wanaofikia 281.
Wakati wagonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) Tanzania wakizidi kuongezeka na kufikia 147 baada ya Serikali kutangaza wagonjwa wapya 53, Wizara ya Afya imesema mgonjwa mmoja aliyekuwa akiugua ugonjwa huo amefariki dunia.
Umoja wa Wakurugenzi Watendaji wa kampuni za sekta binafsi Afrika (The Africa List) umetangaza kuongeza wanachama wapya 34 kutoka Tanzania ikiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Sahara Ventures, Jumanne Mtambalike ili kutoa ujuzi wa kuendesha biashara n
Idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona (COVID-19) Zanzibar imezidi kuongezeka na kufikia 24 baada ya Wizara ya Afya visiwani humo kutangaza wagonjwa wapya sita.
Mgonjwa huyo alikuwa mkazi wa Kijichi, Zanzibar mwenye miaka 63 alifariki dunia Aprili 11 nyumbani na kuzikwa siku hiyo hiyo.
Shirika la afya la Umoja wa Mataifa (WHO), linakusudia kuchapisha mwongozo wenye taarifa za kuwezesha nchi kuchukua hatua za kupunguza kuenea kwa ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19)
Wagonjwa wengine 14 watangazwa leo na kufanya idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo kufikia 46.
Huenda elimu ya juu nchini Tanzania ikachukua mkondo mpya, baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere kubaini kuwa udahili wa wanafunzi wanaosoma shahada za uzamili katika baadhi ya vyuo vikuu vya umma unashuka kila mwaka
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohamed ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya wawili wa virusi vya Corona (#COVID19) na kufanya visiwa hivyo kuwa na wagonjwa tisa mpaka sasa.
ripoti yake imebaini kuwa taasisi hizo zimeshindwa kufuatilia ufanisi wa elimu waliyoitoa kwa wahitimu wake waliopo kazini.
Kitabu hicho kipya kitasaidia watoto kuelewa na kufahamu kwa kina ugonjwa wa virusi vya Corona (COVID-19) kitakachowasaidia kujikinga na janga hilo la dunia.
Mgonjwa mwingine mmoja wa virusi vya Corona (Covid-19) amegundulika leo jijini Dar es Salaam na kuongeza idadi ya walioambukizwa ugonjwa huo Tanzania hadi 25 tangu ulipoingia nchini katikati ya Machi 2020.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums Maxence Melo kulipa faini ya Sh3 milioni au kwenda jela mwaka mmoja baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuzuia polisi kufanya upelelezi wao.
Ubalozi wa Tanzania nchini China umewataka wanafunzi wanaosoma katika jiji la Wuhan nchini humo kuwasiliana na vyuo vyao na kufuatilia taratibu za kupata visa kabla ya kupanga safari ya kurudi nyumbani Tanzania.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema kuwa wagonjwa wengine wawili waliokuwa na maambukizi ya ugonjwa virusi vya Corona wamepona na kufanya idadi ya waliopona kufikia watu watano mpaka sasa.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema Serikali itatekeleza kikamilifu masharti ya mkopo wa dola za Marekani 500 milioni uliotolewa na Benki ya Dunia ikiwemo kuwawezesha wasichana waliopata mimba wakiwa shuleni kuendelea n