Serikali yatoa mwelekeo mpya mpango wa maendeleo wa Taifa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano wenye dhima ya kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu wa Tanzania.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua Mpango wa tatu wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano wenye dhima ya kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu wa Tanzania.
Wataalam wa mazingira wamesema ili wafaidike na mradi huo wanapaswa kutunza vyanzo vya asili vya maji kwa kuhifadhi na kupanda miti.
Watakiwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika mapambano hayo.
Ahoji ni wapi vijana hukutana na kujadili masuala yanayowahusu?
Waanza kupata maji safi na salama baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzindua mradi mkubwa wa maji wilayani Misungwi.
Barakoa ni kati ya njia ya kujikinga na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa ikiwemo Covid-19.
Jengo hilo lililopo Mwanza latumia bilioni 42 kujengwa huku Rais akieleza kuwa ataongea na BoT.
Imepunguza kodi kwa washidi na kuongeza kodi kwa baadhi ya michezo ili kukuza sekta ya michezo.
Adhabu hizo zinapendekezwa kushushwa mara tatu kutoka Sh30,000 kwa kosa moja hadi Sh10,000
Madiwani wao wataanza kupatiwa posho zao kwenye akaunti ili kuwaondolea usumbufu na kuongeza ufanisi kazini.
Sekta mbalimbali zikiwemo sekta ya sanaa na malazi ziliathiriwa na ugonjwa wa corona.
Amesema serikali itajenga shule zakufundisha masomo ya sayansi kila mkoa kwa ajili ya wasichana.
Mazungumo hayo yanatarajiwa kufanywa Juni 15 mwaka huu katika siku ya tatu ya ziara yake atakayoifanya Mwanza kuanzia Juni 13, 2021.
Serikali imetoa tahadhari kwa watu wanaoishi kando ya ziwa hilo na kuwataka kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kufanya usafi wa mazingira, kupanda miti na kuepuka shughuli za kibinadamu kando ya ziwa.
Licha ya Serikali kuruhusu usafirishaji wa makinikia (mchanga wa madini), imesema makinikia yote yanayosafirishwa nje ya nchi yamefuata utaratibu na hakuna yanayouzwa bila kulipiwa kwanza.
Mradi huo wa kusindika gesi asilia na kuwa kimiminika (LNG) utakaojengwa mkoani Lindi unatarajiwa kuanza Julai, 2023 ukipigwa kalenda ya mwaka mmoja zaidi ya mipango ya awali.
Wamepungua kutoka lita milioni 1 kwa mwezi mwaka 2016/17 hadi lita laki 4.5 mwaka 2020/21.
Amesema wasimamie maslahi ya Watanzania na kutatua kero zao.
Amesema hatasahau tukio la kizushi la kukamatwa kwa vichwa 20 vya watoto katika kituo cha polisi Nyakato lililomuweka katika wakati mgumu kikazi.
Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu ametangaza orodha ya watahiniwa 148,127 waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano kwa shule za Serikali na vyuo vya elimu na mafunzo ya ufundi mwaka 2021.