Mafunzo ya aina yake kwa asasi za kiraia yaja Tanzania
Ni mafunzo maalum yaliyoandaliwa na kampuni ya Nukta Africa kuziwezesha asasi za kiraia kutumia zana na njia za kidijitali kukabiliana na habari za uzushi.
Ni mafunzo maalum yaliyoandaliwa na kampuni ya Nukta Africa kuziwezesha asasi za kiraia kutumia zana na njia za kidijitali kukabiliana na habari za uzushi.
Naibu waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha amesema Serikali itawachukulia hatua za kisheria wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udsm) waliosimamishwa masomo kwa madai ya kutishia kuandamana kama changamoto zao za mikopo zisinges
Kufuatia mlipuko wa ugonjwa Corona nchini China, Serikali imewataka wazazi na walezi wenye watoto wanaosoma nchini humo ambao wapo Tanzania kwa likizo wasiwaruhusu kwenda hadi hapo Serikali itakapotangaza.
Itasaidia kujua wanawake walio na matatizo katika umiliki ardhi Tanzania.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza wananchi wenye namba ya utambulisho wa Taifa (NIN) waruhusiwe kupata huduma zote zinazohitaji kitambulisho cha Taifa wakati Serikali ikishughulikia upatikanaji wa haraka wa vitambulisho vyao kutoka Mamlaka ya Vitambuli
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amesema wanachukua hatua mbalimbali kukabiliana na tishio la virusi vya Corona ikiwemo kuandaa maeneo maalumu ya matibabu kwa wagonjwa endapo watajitokeza na kutoa mafunzo kwa watumishi wa sekta ya afya.
Ubalozi wa Tanzania nchini humo umesema mpaka sasa hakuna Mtanzania aliyethibitika kupata ugonjwa huo.
Rais John Magufuli amepokea hati za utambulisho mabalozi wateule tisa walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini Tanzania wenye makazi yao nje ya nchi ili kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia.
Kwa mara ya kwanza picha hiyo, inayosambaa kama ni watu waliofariki kwa virusi vya corona nchini China, ilichapishwa na mtandao wa South China Post Morning Post Machi 26, 2014 ikionyesha kazi ya sanaa jijini Frankfurt, Ujerumani.
Rais John Magufuli ameagiza makontena ya mchanga wa madini ya dhahabu maarufu kama makinikia yaliyokamatwa katika Bandari ya Dar es Salaam mwaka 2017 yauzwe na fedha zitakazopatikana zitakuwa za kampuni ya Twiga Minerals Corporation Limited.
Zanzibar imeingiza shule saba kati ya 10 katika shule zilizofanya vibaya.
Anakuwa waziri wa tatu kufurushwa na Rais Magufuli ndani ya miaka minne ya utawala wake katika wizara hiyo.
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imefuta hati za usajili wa vyuo vikuu vishiriki vitano, vyuo vikuu vitatu na chuo kikuu kishiriki kimoja baada ya kujiridhisha kuwa vyuo hivyo havina uwezo wa kujiendesha hata vikipewa muda zaidi.
TCRA yasema kuna laini zaidi ya milioni 16 ambazo usajili wake haujulikani kwa sababu mbalimbali
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali inawataka watoto watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakatisha masomo yao kwa viongozi wa vijiji waliopo kwenye maeneo yao ili hatua za kisheria zichukuliwe.
Thamani ya mauzo katika soko hilo yamepaa mara 11 ndani ya wiki moja hadi Sh22.64 bilioni wiki iliyoishia Januari 17 kutoka Sh2 bilioni wiki iliyopita.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma Tanzania wajiimarishe katika ukusanyaji wa mapato na wahakikishe fedha zote zinazopatikana zinaingizwa kwenye mfuko wa Serikali ili zitumike kuwahudumia wananchi.
Wataalamu wanashauri kuhamia katika mifumo endeshi ya Windows 8 na 10 ambayo imeongezewa usalama zaidi ikilinganishwa na Windows 7 ambao umepitwa na wakati.
Imeingia kumi bora kwa shule zilizo na wanafunzi zaidi ya 40 kwa mara ya kwanza toka ilipoanzishwa.
Wakati mitandao ya kijamii ikizizima kwa matokeo ya kidato cha nne mwaka 2019, watu wakifurahia matokeo ya watoto wao huku wengine wakilia na kushindwa kuweka picha za ndugu zao kwenye mitandao hiyo, baadhi ya wadau wa elimu wametoa maoni yao juu ya matoke