Majaliwa:Vijana acheni tabia ya kuchagua kazi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka vijana waondokane na dhana ya kuwa kazi bora ni zile za kukaa ofisini, bali wafanye kazi za uzalishaji mali ili kukuza vipato vyao.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka vijana waondokane na dhana ya kuwa kazi bora ni zile za kukaa ofisini, bali wafanye kazi za uzalishaji mali ili kukuza vipato vyao.
Baraza la Habari Tanzania (MCT) limefuta tuzo tatu ikiwemo tuzo ya uandishi wa habari za afya kutoka katika orodha ya tuzo za umahiri wa uandishi wa habari (EJAT) baada ya kukosekana kwa wadhamini wa tuzo hizo.
Mwanahabari wa habari za uchunguzi Erick Kabendera ameingia kwenye orodha ya watuhumiwa wa makosa ya uhujumu nchini ambao wameomba kufanya majadiliano na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ili kumaliza kesi inayomkabili.
Shirika lisilo la kiserikali la Hivos Afrika Mashariki (Hivos East Africa) kwa kushirikiana na kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) wameandaa mafunzo maalum ya wanahabari katika masual
Imesema iwapo yatashindwa kuhuisha leseni zao ndani ya muda huo watapewa adhabu kali ikiwemo kufungiwa.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema kitambulisho cha mpiga kura kinachotolewa na tume hiyo hakitatumika katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba mwaka huu, badala yake wananchi wanatakiwa kujiandikisha ili wapate fursa ya kuwachagua v
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema itatoa orodha ya majina ya waombaji waliofanikiwa kupata mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020, Jumanne Oktoba 15, 2019 baada ya kukamilika kwa uchambuzi wa maombi yaliyowasilishwa.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres ameziandikia barua nchi wanachama kuhusu ukata mbaya zaidi kuwahi kukikumba chombo hicho chenye wanachama 193, jambo linalotishia hatma ya mishara ya wafanyakazi na watoa huduma wake.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Bravo Lyapembile awaondoe kazini watumishi watatu wanaokusanya mapato kwenye stendi ya mabasi ambao wameajiriwa kindugu huku wakiwa na tuhuma za kuiba mapato.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa asema Serikali iko macho wakati wote na itamfikia na kumchukulia hatua kila mtumishi wa umma anayetumia vibaya fedha za Serikali.
Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) wametangaza ubia katika kukuza uelewa wa faida za kuishi maisha yenye afya kupitia michezo ya kimataifa katika nchi mbalimbali.
Vijana hao wenye ushawishi kutoka Tanzania ni Kennedy Mmari, Dk Felix Manyogote na Petrider Paul.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewatoa hofu wakazi wa mikoa hiyo na kuwataka waendelee na shughuli zao kwa sababu hali ya hewa iko vizuri.
Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya wazee duniani, Serikali na wadau mbalimbali wameitaka jamii kutokwepa jukumu la kuwatunza wazee kwani nguvu zao za uzalishaji mali zimepungua.
Wamuomba Rais Magufuli amsamehe “iwapo aliteleza katika utekelezaji wa majukumu yake ya uandishi wa habari.”
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (Heslb) imetoa orodha ya waombaji 10,452 wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020 ambao fomu zao zina upungufu ili wafanye marekebisho kwa siku nne.
Rais John Magufuli amesaini sheria nne ikiwemo ya Sheria ya Serikali Mtandao namba 10 ya mwaka 2019 zilizopitishwa katika mkutano wa 16 wa Bunge la Tanzania ili zianze kutumika rasmi.
Raisi John Magufuli amefanya mabadiliko mbalimbali ya viongozi wa Serikali ikiwemo kumteua Dk Wilson Mahera kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeishauri Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kutumia njia ya majadiliano na onyo kabla ya maamuzi ya kusimamisha au kupiga faini chombo cha habari ili kuondoa mkanganyiko wa maamuzi yanayotole
Rais John Magufuli ameongeza siku saba kwa watuhumiwa wa uhujumu uchumi ili kufikisha maombi ya kukiri makosa na kulipa fedha za umma katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP).