Profesa Kitila awashauri Watanzania kutumia foleni ya magari Dar kusoma vitabu
Amesema foleni ya magari Jijini Dar es Salaam ni fursa ya kusoma vitabu kwa mtu akiwa kwenye gari badala ya kuperuzi mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Amesema foleni ya magari Jijini Dar es Salaam ni fursa ya kusoma vitabu kwa mtu akiwa kwenye gari badala ya kuperuzi mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga ampelekee taarifa ya utendaji kazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Waryoba Gunza baada ya kushindwa kutoa maelezo kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji kata ya Rutamba.
Imesema maji ya chupa yana chembechembe nyingi za plastiki ikilinganishwa na maji ya bomba lakini kitisho kibwa kwa sasa kwa afya za binadamu siyo plastiki bali ni maji yasiyo safi na salama
Ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Alvaro Rodriguez aliyemaliza muda wake. Leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es Salaam.
Wanakusudia kutekeleza mradi wa upandaji miti ili kulifanya Jiji la Dodoma kuwa la Kijani na kuwainua kiuchumi vijana na wanawake.
Amerudishwa rumande hadi Agosti 30, 2019 baada ya Hakimu anayesikiliza kesi yake kupata udhuru huku upande wa mashtaka ukisema bado haujakamilisha upelelezi wa kesi hiyo.
Nchi wanachama zimetakiwa kushirikiana katika kutunza na kuendeleza amani na usalama ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kuwaletea wananchi maendeleo.
Amewaomba wakuu wa nchi za Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kutoa hutuba yake kwa Kiswahili ili washawishike kukipitisha kuwa lugha rasmi ya nne ya mawasiliano ya SADC.
Eneo hilo la Mzambu lipo Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), mkoani Morogoro waliishi wapigania uhuru wa Afrika Kusini.
Imezitaka Serikali kupiga marufuku matangazo, uchangishaji na ufadhili wa bidhaa za tumbaku katika matamasha na mikutano ya kimataifa.
Taarifa ya kuteuliwa kwa Askofu Ruwa’ichi limetolewa leo baada ya Papa Fransisko kuridhia ombi la Kardinali Pengo kustaafu.
Wanasubiriwa kutoa uamuzi kama lugha ya Kiswahili inaweza kutumika kama lugha rasmi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) lapendekeza Kiswahili kuwa lugha ya nne ya mawasiliano.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dk Agnes Kijazi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa kamati hiyo.
Imesema idadi ya watu walio na ajira Tanzania imeongezeka kutoka milioni 20 mwaka 2014 hadi milioni 22 mwaka 2018.
Tume hiyo maalum iko kwa ajili ya kubaini chanzo cha ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu zaidi ya 69 na wengine 70 kujeruhiwa.
Aitaka itafakari namna ya kurekebisha baadhi ya dosari ikiwemo suala la kuwanyima mikopo wanafunzi kwa kutumia kigezo cha kusoma katika shule binafsi.
Ajira rasmi zilizotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kutoka 239,017 mwaka 2016/2017 hadi kufikia ajira 137,054 mwaka 2017/2018.
Ajali hiyo imetokea Msamvu, Morogoro asubuhi ya leo kusababisha vifo zaidi ya 60 na majeruhi zaidi ya 70.
Umoja wa Mataifa (UN) umesema hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa kuzitunza lugha hizo zilizojaa utajiri wa utamaduni na ufahamu wa maisha.