Watu zaidi ya 57 wamefariki dunia baada ya lori la mafuta kuwaka moto Morogoro
Watu hao wamepoteza maisha baada ya roli la mafuta kulipuka katika eneo la Msamvu mkoani Morogoro.
Watu hao wamepoteza maisha baada ya roli la mafuta kulipuka katika eneo la Msamvu mkoani Morogoro.
Amekerwa na kitendo cha mamlaka hiyo kupandisha bili za maji kutoka Sh5,000 hadi Sh28,000 jambo ambalo amesema halikubaliki.
Twiti hiyo ni ya kutengeneza ikionekana kuwa na madhumuni ya kuwanyong’onyesha Yanga.
Imesema itaanza kununua magari yake moja kwa moja toka kiwandani. Imedai hatua hiyo itapunguza gharama ununuzi na kuokoa pesa za walipa kodi.
Miundombinu hiyo ni pamoja na reli, barabara, bandari na mawasiliano ili kukuza sekta ya viwanda katika mataifa hayo.
Amewata kuchangamkia fursa zitokanazo na maonyesho ya Wiki ya Viwanda ya SADC ikiwemo soko la bidhaa mbalimbali wanazotengeneza.
Ameshtakiwa kwa makosa matatu ikiwemo utakatishaji wa fedha kiasi cha zaidi ya Sh173.
Wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora katika ukusanyaji wa taarifa ili kuiwezesha Serikali kupata takwimu sahihi kubaini mahitaji na changamoto za sekta hiyo.
Yapanda miti zaidi ya milioni 350 kwa saa 12 na kuvunja rekodi ya dunia iliyoshikiliwa na India tangu mwaka 2016.
Hafla ya mapokezi ya tausi hao imefanyika katika Ikulu ya Nairobi, Kenya.
Tayari imetoa mafunzo kwa wafanyakazi na majaribio ya ndege na kusaini mikataba na watoa huduma mbalimbali.
Ameagiza jengo hilo alilozindua leo litunzwe ili kuepusha uharibifu. Pia ameitaka Wizara ya Ujenzi kuwapata kipaumbele wazawa kutokana na fursa za uwekezaji zitakazopatikana.
Idara ya Uhamiaji imesema itaendelea kumshikilia na kumuhoji ili ipate taarifa sahihi za uraia wake.
Anataka kuona wanasoma hadi chuo kikuu ili warudi katika wilaya yao kuleta Maendeleo.
Yasema hakutekwa bali alikamatwa na polisi na anashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi kwa ajili ya mahojiano kuhusu uraia wake.
Ni wale wanaotumia mifuko ya NHIF na CHF iliyoboreshwa. Idadi yao imeongezeka kutoka asilimia 20 mwaka 2015 hadi asilimia 33 mwaka 2019.
Rais Magufuli amemteua Dk Elirehema Doriye kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), amechukua nafasi ya Samwel Kamanga ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Wamewekewa chumba maalum cha kumpumzikia chenye vifaa mbalimbali vya burudani, jambo linalowafanya wasichangamane na watu wazima.
Amesema hakuna tishio lolote la usalama kwa kampuni hiyo kushirikiana na nchi ya China.
Aziambia taasisi zinazohusika na mradi huo “ole wenu bima hiyo asaini mtu mwingine”.