Tanzania kufanya mapitio sheria, kanuni zinazosimamia uvutaji sigara
Ni kwa ajili ya kumlinda Mtanzania anayevuta sigara bila hiari na kuwaelimisha watumiaji wa tumbaku kuachana na matumizi.
Ni kwa ajili ya kumlinda Mtanzania anayevuta sigara bila hiari na kuwaelimisha watumiaji wa tumbaku kuachana na matumizi.
Zaidi ya nusu ya uzalishaji wa mazao hayo kushuka kwa viwango tofauti kutokana na mabadiliko ya tabia nchi yaliyotokea kipindi hicho ikiwemo mvua nyingi.
Ameiagiza Takukuru kufanya uchunguzi huo na endapo hawatokuwa na hatia, warejee katika majukumu yao.
Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimesaini mikataba miwili ya mkopo wenye thamani ya Dola za Marekani milioni 140 (takriban Sh323.4 bilioni) kwa ajili ya kufadhili mradi wa kufua umeme wa nguvu ya maji wa Malagarasi uliopo mkoan
Mkuu wa Mkoa mpya wa Mwanza, Albert Chalamila ameahidi kukaa pamoja na viongozi wa wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga ili waweze kufanya biashara zao kwenye maeneo yaliyotengwa na siyo barabarani.
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR), Jaji Sylvain Ore amesema anatazamia kuona utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan ukiirejesha Tanzania katika mahakama hiyo.
John Mongela aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, amepelekwa mkoani Arusha huku David Kafulila ambaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha amepelekwa mkoani Simiyu.
Amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania kutumia sheria na adhabu kudhibiti uhalifu kuliko kuzitumia kama kitega uchumi cha kujipatia mapato yotokanayo na faini na tozo za makosa yakiwemo ya usalama barabarani.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kutatua changamoto mbalimbali zinazoikumba mahakama ya Tanzania zikiwemo za uchakavu wa miundombinu.
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha wanakamilisha ujenzi wa machinjio ya kisasa yaliyopo Vingunguti jijini hapa kabla ya Juni 30 mwaka huu
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachewe ameagiza kuimarishwa kwa vikundi vya ulinzi shirikishi vikiwemo vya sungusungu ili kudhibiti vitendo vya kihalifu na wizi mdogo mdogo unatokea kwenye jamii.
Kamati maalum ya iliyoundwa na Rais Samia Suluhu kuchunguza hali ya ugonjwa wa Corona nchini imependekeza kuwa Serikali iruhusu matumizi ya chanjo dhidi ya ugonjwa huo kwa Watanzania kwani ni salama na zimekidhi viwango vya kisayansi.
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameahidi kutatua migogoro mbalimbali ya ardhi inayohusisha maeneo yanayomilikiwa na madhehebu ya dini yakiwemo makanisa yaliyovamiwa na watu.
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa ya wakuu wa mikoa Tanzania Bara huku baadhi wakibadilishiwa vituo, wakiondolewa na kuingiza wapya akiwemo David Kafulila ambaye anakua Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sylvester Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP). Mwakitalu anachukua nafasi iliyoachwa na Biswalo Mganga ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Mikoa 11 ukiwemo Mkoa wa Tanga haijaweza kufikia wastani wa kitaifa wa upatikanaji wa dawa kimkoa, jambo linaloweka afya za Watanzania mashakani kwa kukosa matibabu kwa wakati.
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa (UN) imeeleza kuwa madhara ambayo dunia imeyapata hasa ya kiuchumi yaliyotokana na janga la virusi vya corona yangeweza kuzuilika iwapo Serikali za nchi zingechukua hatua za haraka.
Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Yuan za China milioni 100 sawa na Sh35.4 bilioni utakaotumika kutekeleza miradi mbalimbali ikiwa ni moja ya hatua inayolifanya taifa hilo la Asia kuendeleza mizizi ya urafiki na Tanzania.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema wizara yake inakusudia kuwasilisha muswada wa Sheria ya Bima ya afya kwa Wote bungeni Juni mwaka huu.
Asema ukosefu wa maadili ni sababu ya mambo mabaya yanayoendelea katika jamii ikiwemo vijana kutokuwapisha viti wazee, ujambazi na ndugu kushindwa kulea wazee.