Majaliwa awataka Ruvuma kuondoa vikwazo vya kiuwekezaji
Majaliwa amesema mkoa huo una fursa lukuki kama mikoa mingine ambazo zikiendelezwa, zitaleta tija na kusaidia kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Majaliwa amesema mkoa huo una fursa lukuki kama mikoa mingine ambazo zikiendelezwa, zitaleta tija na kusaidia kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Wamepewa leseni tatu za kujenga mitambo ya kusafisha dhahabu na kuyeyusha madini mbalimbali.
Dhahabu hiyo ni kilo 35.34 iliyotoroshwa kupitia uwanja wa ndege wa KIA kabla ya kumatwa Nairobi, Kenya Februari 15, 2018 ambapo Rais Magufuli avipongeza vyombo vya ulinzi vya Kenya kwa kazi viliyofanya.
Ni Abraham Shamumoyo ambaye anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo fedha za jumuiya hiyo kutunzwa katika akaunti binafsi.
Kigogo huyo na wenzie wanne wa TPDC walisimamishwa na Bodi ya Wakurugenzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Asema hilo ndilo neno lake la mwisho.
Amesema anataka azungumze nao ili ajue na kuzitatua changamoto zinazowakabili.
Awataka wakifanye kilimo kiwe na tija na kuharakisha utolewaji vibali vya mazingira vya Nemc kwa wawekezaji.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana vifo vya watu takriban 33 ndani ya studio. Hiyo.
Wajasiriamali wakaribishwa kujenga na kuuza gesi hiyo kwa watumiaji wa mwisho wakiwemo wamiliki wa magari yanayotumia nishati hiyo.
Serikali itaanza kusajili nyaraka za ardhi ndani ya mikoa badala ya utaratibu wa awali katika kanda maalum ili kurahisisha upatikanaji wa nyaraka hizo
Ataka wawe na mipango kazi, asema Serikali inapima matokeo.
Mamlaka za hali ya hewa Afrika Mashariki kushirikishwa ili kuongeza tija kwa wananchi wao.
Vijana waliotimiza miaka 18 watakiwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza haki yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.
Aitaka Wizara ya Katiba na Sheria na DPP kutembelea magereza yote nchini na watuhumiwa watakaobainika kuwa wanashikiliwa kimakosa waachiwe huru.
Benki hiyo imeitaka Tanzania kuongeza uwekezaji ili kujenga mtaji wa watu wenye afya na ujuzi wa kuifikisha katika uchumi wa kati ifikapo 2025.
Ameiagiza Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) itafute njia bora ya kuvijengea uwezo vyuo vikuu binafsi ili kuondoa mtazamo hasi kwenye jamii kuwa kazi kubwa ya tume hiyo ni kuvifungia vyuo vikuu
Utekelezaji wake unakwamishwa na kutokuwepo kwa usawa, athari za utandawazi na mabadiliko ya teknolojia.
Wananchi wa mkoa huo wamehimizwa kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya iliyoboreshwa (CHF) ili kupata uhakika wa matibabu katika vituo vya afya na kuachana na tiba zisizothibitishwa.
Amewataka kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi bila ubaguzi wala kupokea rushwa.